Watu wa Kimara huyu mama kaamua kututesa ?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,152
Reaction score
2,698
So wana mzengo hebu niambieni haya ndio maisha tunaishi kwa miaka 5 ? Anajua mnalipa Kodi kiasi gani kwa biashara zenu ? Kwa nini tusijitenge na Dar tukawa na Kimara Republic ?

Tutakufaaaa ndorobooo nyie, mmeona foleni la tar 18 jioni ? Wake zenu na mademu zenu wamehaha usafiri town niaje.....wenyewe magari yenu yamekaa foleni mpaka yameisha mafuta na sheri mlichoma moto
 
Tarehe 18 ya mwezi gani!?
 
Ili msiandamane tena
 
Zamani nilidhani Kimara wanaishi wajannja, ila baada ya kuchoma miundombinu ya Mwendokasi nimegundua kuwa Kimara ni kama "Pwani ya mabwege"
 
Back
Top Bottom