Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeingia shambani kwa tajiri mmoja hapo iringa anafuga ng'ombe , aisee nauliza bei ya ng'ombe nambiwa five m, huyu six m na hatanii kabisa, nikaona huu uboya nimeenda tukuyu mbeya wanakopatikana...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Mimi Kama Mpenzi wa radio niliacha kusikiliza radio mwaka 2021 baada ya kuona watu Kama Baba Levo wanachambua mambo ya msingi ya Nchi. Baada ya kuwatoa hawa jamaa sasa ile ladha imerudi katika...
20 Reactions
73 Replies
3K Views
Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa. Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye...
14 Reactions
86 Replies
3K Views
Nchi hii kuna mambo tunapoelekea tunaitafuta vita mbaya ambayo hawa watu watakuwa sio raia wa nchi yetu nacho kiona kama mange kimambi anavyotuelea kuhusu mtoto wa samia sasa ni raia wa waarabu...
6 Reactions
6 Replies
355 Views
Nikiwa nawachana kwa kuwaambia Ukweli badala ya Kukubali makosa yenu na Kunielewa mnakimbilia Kunitukana, Kunidhihaki na Kunishambulia. Hivi Logically tu baada ya kutangaza Maandamano mengine...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Hivi karibuni Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imekuwa ni nchi iliyojizolea umarufu kwenye mijadala ya nchi za Africa Hizi ni Baadhi ya nchi Tanzania inashutumiwa kwa ununuzi wa ardhi kubwa...
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill...
3 Reactions
12 Replies
756 Views
KIFO CHA MAMA MJAMZITO,MTOTO AKIJIFUNGUA UTATA Barnaba Tillya mme wa marehemu Irene Tillya mpaka sasa haamini kama kweli mke wake kipenzi hayupo duniani na kila anapofikiria kilichotokea ndani ya...
4 Reactions
94 Replies
5K Views
Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una...
9 Reactions
20 Replies
823 Views
Yer 47:7 SUV [7] Utawezaje kutulia, Ikiwa BWANA amekupa agizo? Juu ya Ashkeloni na juu ya pwani, Ndipo alipoyaamuru hayo. Waliobeba agizo la Mungu ni vigumu sana kuwakuta wametulia na...
2 Reactions
2 Replies
225 Views
Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi, Mzazi wake Dkt. Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya...
20 Reactions
378 Replies
18K Views
Duh haya maisha sio poa sikutegemea kama dar es salaam jiji lenye kila aina ya starehe , kwamba na penyewe uchawi upo , yaani kuna uchawi balaa,sio poa hususani maeneo ya Mbagala, Chanika na...
9 Reactions
77 Replies
4K Views
Wakuu, Jamii forums ni jukwaa huru nchini tanzania,lililoanzishwa kwa ajiri ya washirika(members) kupashana habari zinazohusu taarifa za habari, matukio, burudani, michezo, mapenzi nk Katika...
5 Reactions
16 Replies
938 Views
Uwepo wa mashine za kukunia nazi na tui la viwandani, limechangia wakina mama wamepoteza umahiri wa kuandaa baadhi ya vyakula. Hawawezi tena kukuna nazi kwa kutumia mbuzi kiufupi haichekeshi...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Hello Fellas Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything...
8 Reactions
106 Replies
5K Views
Sasa hivi CCM wanajifanya kushangaa watu wanapotaka kuingia msituni kama njia mbadala ya kudai haki. Katika kudai haki kuna njia nyingi. Ikiwemo mazungumzo, Mahakama, Maandamano na kadhalika...
2 Reactions
5 Replies
361 Views
video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi...
10 Reactions
15 Replies
729 Views
Habari zenu Wana-jamiiforum? Moja kwa moja kwenye mada, kuna minong'ono mbalimbali kuwa kuna nguvu fulani fulani zinazoweza kubadilisha hali ya kitu, kuleta maafa, kuleta bahati, au kuamua...
3 Reactions
28 Replies
821 Views
Kupitia ukurasa wa mtandao wa instagrama Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imetoa taarifa ya kuhusu wafanyakazi wake kuvamiwa jana Novemba 12, 2025 wakati wakiendelea na majukumu yao...
6 Reactions
20 Replies
983 Views
Back
Top Bottom