Kwa mujibu ya waliosikia sauti yangu kabla ya kuniona walinitafsiri kama brotherman fulani naye vimba halafu nimejipata kumbe ni mshikaji tu wa gheto anayepambania maisha yake.
Najua serikali hili swala linawamiza sana sema ndo hivo nani amfunge paka kengele? Aje hadharani atubu ni ngumu ila kuna mambo watafanya indirect mazuri na wananchi watasahau alafu maisha...
Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake
Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa...
Kwa jinsi anavyochanganyikiwa na kuzidi pia kuwachanganya Wafuasi Madunduka wake hashindwi kusema sasa kuwa ni wa JamiiForums manake Yeye kila Sumu ya Uwongo na Uzushi hata haipimi na haifanyii...
Yesu hakutumia neno “haki ,” bali mafundisho yake juu ya upendo, usawa, na haki vinaunda msingi wa kanuni nyingi za kisasa za haki za binadamu.
Ujumbe wake mkuu waonyeshwa kupitia Kanuni Bora...
Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa...
Lisemwalo lipo na kama lipo basi linakuja ni kwamba pale ikulu ya tanzania kuna nini ambacho mpaka damu za watanzania zimemwaga kwa ubavu mkubwa.
Je vikosi vilivyoombwa na kashafa kuwa wametoka...
Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala...
Hapa kuna athari za maandamano ya vurugu katika uchumi, kijamii, na kisiasa .
1. Athari za Kiuchumi
Maandamano ya vurugu huathiri uchumi kwa njia nyingi:
a) Kupungua kwa biashara
Maduka kufungwa...
Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie...
Idadi ya wagonjwa wa saratani nchini Tanzania imeripotiwa kuongezeka kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha.
Ripoti mpya inaonyesha kuwa jumla ya wagonjwa 16,516 walirekodiwa kati ya mwaka...
Anaandika Malisa GJ kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Hii ni tarehe 31 Oktoba. Hawa vijana wamesimama nje ya geti nyumbani kwao. Hawapo kwenye maandamano, wanapiga tu story, wendawazimu...
"Hili sasa limekuwa somo kwamba kumbe kwa mwanadamu lolote linaweza kutokea hivyo ni vizuri sana kwa wakati tuliokuwa nao, viongozi wetu, Serikali, Taasisi zisizo za kiserikali na wananchi kwa...
Serikali imetoa onyo kuhusu shughuli za upatu, ambapo Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, amesema kwamba mtu yeyote anayeshiriki katika upatu kwa kukusanya fedha ili kuzigawa...
Kenya imeidhinisha rasmi kuanza kutekeleza mfumo wa Recognition of Prior Learning - RPL mfumo ambao unatambua ujuzi wa vitendo na stadi za kazi zilizopatikana nje ya elimu ya darasani na kuutoa...
Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao.
Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za...
Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo...
Wanatafutwa mbuzi wa kafara, wakuangushiwa lawama gavo ipo tayari kuwalipa chochote hawa mbuzi wa kafara..
Kuwapo ktk kamati ya maudhiano ni kutake risk ya uhai wako au familia yako kwa vipande...
Binafsi mtanisamehe, ila kuanzia leo sitaki tena mazoea na wazanzibari
Nimeblock karibia wote, biashara sifanyi nao tena!!
Kuna mmoja nilikua nimemuweka kama Agent wangu kwenye biashara zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.