Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kweli matumizi ya ATM card hufika muda yakaisha na ni jukumu la benki kuandaa card nyingine kwa wateja wake.LIPO tatizo la wateja walio mbali na matawi walikofungulia ambako wanafuata ATM CARD...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's economy is well placed to extend a run of strong growth, but the government should do more to ensure the extra wealth reaches its people, most of whom are...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inaskitisha sana kuona anaesabisha ajali akicheka kanakwamba ni jambo la mzaha alialofanya.hili gari huwa linakimbizwa utafikiri ambulance na wala halina tahadhari na huwa ni bovu na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Uhaba wa mafuta(gasoline) Arusha nimetembelea vituo vinne vinavyotoa huduma za mafuta ya mitambo(petroleum stations) zilizoko barabara kuu ya Moshi-Nairobi (NJAKE, GAPCO, BP na MOUNT MERU) na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,mecky Sadiq ametoa onyo kwa waislam wanaotaka kuandamana kushikiza dhamana kwa sheikh ponda! amesema sheria itachukua mkondo wake. source! habari,channel 10
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inakuwaje maji yanatoka hapo kwenu kimara mwisho mara mbili kwa wiki wakati kibo na msewe mwezi mzima hayajatoka??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimekuwa sielewi kabisa ninapoona viti vipo tupu bungeni huwa najiuliza ni kwamba viti vimekuwa vingi sana? au wabunge hawahudhurii? kikao cha kwanza cha mkutano huwa wanajaa halafu ghafla...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika jamii iliyopoteza maadili, udhaifu (ama wa kimwili, kimali au kiuhusiano), huweka hali inayoweza kuzaa uonevu. Jitu la miraba minne linalopita mtaani likiwadunda wenzake wenye maumbo madogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa raha isiyo kifani nimemfagilia dr magufuli kwa kusema CDM HOYEEE!mbele ya rais na wananchi kujibu kwa furaha HOYEEE!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo kwa mara ya kwanza nimepanda City train na kwa sasa niko nyumbani nimepumzika na familia yangu mara baada ya kumaliza kazi saa 9:30, kweli usafiri wa Train ni raha kwani ingekuwa dala dala...
9 Reactions
54 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu,naomba msaada wa utaratibu usajili wa saccos maana tuna kikundi chetu tumeona bora kuanzisha saccos ili tusonge mbele zaidi.kwa anaelewa naomba anipe mtiririko plizzzz...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu wakuu! Kwa uchunguzi wangu wa haraka, Tanzania huenda ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na mifuko mingi ya hifadhi ya jamii. Ifuatayo ndiyo mifuko ya hifadhi ya jamii hapa JMT...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, katika hali isiyo ya kawaida, leo nimeshuhudia tukio la kusikitisha. Nilikuwa katika Benki ya CRDB, Tawi la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam; nimeshuhudia mhudumu wa dirisha namba...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Ikawa asubuhi mara mchana siku ya mwisho wa mwaka, miezi yaenda na siku za songa, matukio yanazidi kutusahaulisha na somtym ukweli wa kuwa ni upepo na unapita inakuwa kweli kila kukicha. Wajanja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TUKIO KAMILI: BASI LA ABOOD NAMBA T 545 AZE LA KUTOKEA DAR KWENDA TUNDUMA LAPATA AJALI MAENEO YA SAE(MBILINYI) BAADA YA KUGONGANA NA KENTA LILILO SABABISHA AJALI HIYO, MMOJA AFARIKI HAPO HAPO...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mara ya mwisho niliona kwenye ujio wa raisi wa marekani Bill Clinton,magari yapo bize yanamwaga maji kwenye barabara karibu zote zilizotengeneza,haya bwana mkubwa karibu katika uzinduzi wa jiji
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa walioko Arusha mbona kimya hatupati maendeleo ya uzinduzi wa jiji? Hakuna hata mtu mmoja aliyeko huko?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa hivi kitu inakata vumbi iliyosheheni, sijui walioko uwanjani hali ikoje!
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kuanzia sasa kila mtumishi wa serikali anayetaka kusafiri nje ya nchi, anatakiwa kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, ofisi ya Rais, Ikulu, kupata fomu "TFN 773", maombi hayo yawe...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Lazima tukubaliane hakuna kitu muhimu Tanzania kama viwanja na nyumba. Nataka niulize kwani sina jibu la haya maswali 1. Je ni kwanini pamoja na kuwa na documents zote inachukua miaka miwili(2)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…