NMB huu ni uzembe mwingine

NMB huu ni uzembe mwingine

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Ni kweli matumizi ya ATM card hufika muda yakaisha na ni jukumu la benki kuandaa card nyingine kwa wateja wake.LIPO tatizo la wateja walio mbali na matawi walikofungulia ambako wanafuata ATM CARD mpya.Kama upo mbali unajaza fomu ili uletewe kadi yako,sasa mimi nilishajaza fomu lakini leo ni mwezi wa Sita,,unaambiwa kadi haijafika.Huu ni uzembe,kama hii huduma ya kuwaletea kadi wateja kutoka mbali hamuiwezi,,iacheni.Hakuna anaefurahia kupanga foleni ndani.
 
Ilinikuta mimi pia,nililazimika kufuata ATM card mail mingi kwa uzembe wa nmb!nilijaza form za ku'claim' kuletewa ATM CARD but hakuna kilichofanyika!chukua tu hatu kuifuata ATM card yako while its still early.
 
Back
Top Bottom