MWANAWAVITTO
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 258
- 220
Uhaba wa mafuta(gasoline) Arusha nimetembelea vituo vinne vinavyotoa huduma za mafuta ya mitambo(petroleum stations) zilizoko barabara kuu ya Moshi-Nairobi (NJAKE, GAPCO, BP na MOUNT MERU) na kukutana na foleni kubwa za magari yakiwa yamepaki au kuzimwa kabisa kutokana na kukosekana kwa mafuta.