Serikali ya mkoa Dar yatoa onyo kwa waislam

mgomba101

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
1,817
706
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,mecky Sadiq ametoa onyo kwa waislam wanaotaka kuandamana kushikiza dhamana kwa sheikh ponda! amesema sheria itachukua mkondo wake.

source! habari,channel 10
 
Naungana na mkuu wa mkoa kwa 100%, hakuna mtu aliye juu ya sheria, na hakuna dini iliyo juu ya sheria.JWTZ,polisi,FFU,magereza,mgambo wakae mkao wa kula.safari hii ni kipigo cha kufa mtu.
 
kuna thread hapa inasema kuwa waislamu hawa wameingiza silaha misikitini, RC kaongea hilo pia au??
 
teh...ipo siku utasikia wameandamana na yeye wanataka kumng'oa kama walivyomfanyia mufti wa BAKWATA
 
Ni nyakati za mwisho, tujiandae kumlaki mwokozi, ukweli ni kuwa hakuna amani Tanzania. Tumebakiza kuchinjana barabarani.
 
...Natamani kila mtu angetamani amani idumu na afanye kwa vitendo kuidumisha.
...sipendi jamii zianze kuwekeana visasi kwa kukosa busara tu.
....kila mtu ana haki na kila kundi pia, ila si kwa kuvunja au kutothamini haki za wengine.
....tujikosoe na kutafuta suluhu kama watu wenye akili zinazotumika vizuri.
 
Hao jamaa mbona wanaenenda kinyume na mafundisho ya marehemu mtume mohamed (S.A.W)!?

:biggrin1: hivi kumbe ni marehemu? nilifikiri mitume hawaitwagi marehemu...kama ni marehemu basi yeye na sisi hakuna tofauti yoyote
 
:biggrin1: hivi kumbe ni marehemu? nilifikiri mitume hawaitwagi marehemu...kama ni marehemu basi yeye na sisi hakuna tofauti yoyote
ndio ni marehemu na kaburi lake si lipo ushahidi ninao.. Sijui kwanini hatupendi kumwita hivyo
 
Back
Top Bottom