Ikawa asubuhi mara mchana siku ya mwisho wa mwaka, miezi yaenda na siku za songa, matukio yanazidi kutusahaulisha na somtym ukweli wa kuwa ni upepo na unapita inakuwa kweli kila kukicha. Wajanja wa mjini mlianzisha mchakato wa vazi la kitaifa mkala kamhogo chetu sasa mnatuangalia kama mazuzu. Hebu achene basi jamani?