Rasmi, lakini sio rasmi mpaka mtakapotangaziwa

Rasmi, lakini sio rasmi mpaka mtakapotangaziwa

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
Ijumaa mchana ni muda wa maandamano na vurugu.
Chukua tahadhari
 
Acheni hizi mambo bana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nyie watu si mmeshika dola nyie kwani mwataka nini tena yakhe. mnajaza magereza bila sababu jamaa zangu.
 
NCHI HAITAWALIKI, tuliambiwa chanzo ni CHADEMA, sasa sijui na hizi Ijumaa za GHADHAB zinasababishwa na chama gani?
 
Maandamano naona ni kipengele kimeongezwa ktk ibada
 
Maandamano naona ni kipengele kimeongezwa ktk ibada


Vipengele vya ibada vimo katika vitabu vitakatifu vya ibada kama msahafu, n.k. vya dini husika; unataka kusema na hicho cha maandamano kimo katika vitabu hivyo?
 
Back
Top Bottom