#tusi zito crdb

#tusi zito crdb

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,949
Reaction score
5,399
Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo mwingine nakuta balance sio. Nkachukua Min Statement nakuta ile 40000 imekatwa as if nmechukua pesa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi niliwahi draw 70,000/= ikahesabu nikasubiri hela haikutoka mini statement haikutoka pia nikadraw 20,000/= kwenye atm nyingine na nikachukua statement amini nilikuta nimedraw 90,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo mwingine nakuta balance sio. Nkachukua Min Statement nakuta ile 40000 imekatwa as if nmechukua pesa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

zilinasa fwatilia zinatarudi.. hata mi ilishanikuta
 
hizo zilinasa maana mie ilishatokea kuchomeka card tu ikatoa twenty then nikaendelea na process,i think zile zilikuwa zime nasa kwa mwingine..
 
Usijali mkuu hizo zimenasa zitarudi tuu baada ya ATM ya benk husika kufanya reconcilliation ya ATM zao.Zinaweza kurudi baada ya 1 week au 2.Hiyo inanitokea sana kwenye benk ninayotumia sasa hivi nimeshazoea baada ya mda fulani zinarudi
 
hizo zilinasa maana mie ilishatokea kuchomeka card tu ikatoa twenty then nikaendelea na process,i think zile zilikuwa zime nasa kwa mwingine..

Mkuu pesa zikinasa kwenye ATM huwa zinaenda kujihifadhi kwenye sehemu maalumu ambayo ipo mbali na mlango wa kutolea pesa so hakuna uwezekano wa pesa kutoka kama mtu mwingine akija kutumia ATM.
 
mie ilitokea nmb karikakoo jumla laki nane siku ya jumamosi lakini jumatatu nilienda kuona wahusika nikajaza form nikarejeshewa baada ya siku moja. na katika kukaa pale benki nikaona watu wengi wanaclaim refund ya fedha zao kuwa ATM zilikata bila kutoa. Naona tatizo lipo somewhere na system za benki zetu zote.
 
Hiyo ATM inahudumiwa na branch gani?Nenda kwehye hiyo branch watakusaidia.Inaonekana system ilimis behave!
 
Case kama hizo huwa zinatokea mara kwa mara,ni kiasi cha wewe kwenda kuclaim u're money
wanakupa,nenda kwenye branch husika au kama ni remote ATM nenda Main branch,watakupa form utajaza
then watajihakiki kwenye system kama kweli ulijaribu kutoa hela,then wakijihakiki wanakupa hela yako
Mara nyingi ATM haziko accurate kwenye kufanya kazi,hivyo ukiona umekatwa hela,ujue hiyo hela imewekwa kwenye PURGE BIN,Hivyo usipoenda kuclaim,hela yako inakuwa mali ya bank!!
Goodluck kaka,hope watakupa
 
Shukrani kaka. Nmewapigia wameniambia afta 24hrs nitarudishiwa. Nikiona kimya nawafuata huko huko waliko

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Baba Koku: Omukazi wange, amahela agonaguza ebintu byaitu tugabiike omubenki ki?

Mama Koku
: Yowe! Tugabiike onyuma yo mti.

Kupeleka hela benki ni dalili kuwa hujiamini unaogopa kuibiwa. Fedha wekeni chini ya godoro bana, aaaaaa!
 
Shukrani kaka. Nmewapigia wameniambia afta 24hrs nitarudishiwa. Nikiona kimya nawafuata huko huko waliko

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

U're welcome mkuu,tuko pamoja!
 
sasa ukitukana ndio hela inarudi ...? ingia branch wakusaidie kurudisha iyo pesa yako
 
Baba Koku: Omukazi wange, amahela agonaguza ebintu byaitu tugabiike omubenki ki?

Mama Koku
: Yowe! Tugabiike onyuma yo mti.

Kupeleka hela benki ni dalili kuwa hujiamini unaogopa kuibiwa. Fedha wekeni chini ya godoro bana, aaaaaa!

Ha ha ha!! hata wale wenzetu wa hela kwenye mahandaki wana benk za maadili yao ati!! Mambo ya chini ya godoro na hizi shot za Tanesco utalia mkuu!1
 
Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo mwingine nakuta balance sio. Nkachukua Min Statement nakuta ile 40000 imekatwa as if nmechukua pesa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hii imenitokea mimi pia lakini nilipomuona manager wa Tawi akanirudishia pesa na maelezo kibao ukinyamaza inaweza kuliwa!!!!
 
Kaka, chukua hiyo min statement then zama ndani ya bank, omba kumuona manager. Ilishantokea na nikafanya kama nilivyo kuelekeza na nikarudishiwa pesa yangu.
 
nimeshawahi kusikia atm nyingi zinazokuja huku ni used ambazo zimetumika muda mrefu ndio maana matatizo kama hayo yanatokea ingawa crdb walijitetea wananunua mpya nahisi ndio chanzo cha tatizo wala sio system
 
Matatizo ya kiufundi tu,
Usihofu wala usiwatukane(hata huko kwingine yapo pia)
Baada ya masaa 24 huwa wanarudisha
au wapige 0714197700(piga mara nyingi namba bize sana)
 
Mimi ilinitokea Nbc, baada ya kuclaim nikarudishiwa hela yangu japo walinisumbua. MUHIMU ni kujua salio lako mara kwa mara kwani mimi kilichonisaidia ni kwakuwa nilikua najua salio hivyo nilivyoiona hiyo tofauti ikaniwia rahisi kuclaim.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom