namba ya Sam Maela

namba ya Sam Maela

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,492
Reaction score
1,305
kama umewahi kuona kupitia ITV au kwa anayejua ile ishu ya yule mama aliyevimba mguu na anahitaji msaada kupitia ITV,kwa kweli ile habari ilinigusa sana na natamani sana nichangie,lakini sina namba ya sam au mhusika mwenyewe ....aliye nayo au anayemfahamu naomba anijuze......kwa hii thread au kwa PM
asanteni
 
Upo mbali na Dar?? si ungefika mwenyewe pale Itv Mikocheni?? vinginevyo subiri wakisoma watakujibu
 
ndio,niko mbali na dar,kama kuna anayefahamiana nae,na anaweza kufanikisha mimi kupata means za kutuma nitafurahi.....M-pesa or tigo-pesa.
Upo mbali na Dar?? si ungefika mwenyewe pale Itv Mikocheni?? vinginevyo subiri wakisoma watakujibu
 
[h=5]Namba hizi hapa........

TIGO PESA NO 0716- 850350 au M PESA NO 0767850351 au account number 011201364730 NBC
[/h]
21416_542185925798839_1236344082_n.jpg
 
Mama tunakuombea kwa Mungu akuponye! Hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu. Jipe moyo Mkuu naye Mungu atakushindia
 
Back
Top Bottom