umeshasahaulika hata kwa wanaccm wenyewe na kama bado wanaukumbuka basi wanaona haya kuuimbaCHAMA TAWALA WALIKUWA NA WIMBO HUU HAPO ZAMANI.
"Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi"
SWALI:Wimbo huu bado unaimbika midomoni mwa watanzania?
Hawajausahau mkuu,hauimbiki kwani chorus itakuwa na maswali mengi!Kama wenye nao wameshausahau, wapita njia wataweza hata kusoma herufi kweli? Nafikiri hayo maandishi yamebaki kwenye makabrasha tu.