Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mhimu kujulishana kuhusu fursa hizi za kununua hisa kwenye taasisi hizi za kijamii ili kila mtanzania ajihisi anahusika moja kwa moja na uanzishwaji pia umiliki Wa tasisi Kama hizi za kibenki...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Treni iliyoanza kazi jumatatu tayari imeua mtu mmoja. Taarifa za kuaminika ni kwamba mtu huyo alikua karibu sana na reli na alikua anajaribu kuichungulia kadiri ilivokua inapita, aligongwa na...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
BARAZA la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (PCT) limeomba radhi kwa kitendo cha kukojolewa Kitabu Kitukufu cha Korani. Pia limeiomba Serikali kushirikisha mabaraza yote ya kidini...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf, Nimesikitishwa sana na mods kuitoa thread jadid ya ndugu Mohamed Said bila sababu ya msingi. Nasema bila sababu ya msingi kwakuwa hoja zilizoletwa mbele yetu tuzijadili...
4 Reactions
113 Replies
8K Views
Nimesikitishwa na ubabe wa serikali ya CCM wa kuendelea kufanya maamuzi yanayofanya maisha ya watanzania kuzidi kuwa magumu. Wanafunzi waliomaliza kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma waliingia mkataba...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimesikitishwa na Kukasirishwa sana na kiwanda cha wachina Mwanza kuwakagua sehemu za siri akinamama eti kuona kama hawjficha chochote.Mbaya zaidi wanaingiza matambara habari hii imenitoa...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Habari Wakuu, nilipambana na hii jana na nikaona ni vema ku-share na wenzangu. Jana nilikutana na bwana mmoja (Jina limehifadhiwa) akiwa na binti ambaye hana kiganja cha mkono wa kushoto na mkono...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo pande za Manzese Mvua imeanzia darajani...kwenda mbele... Vipi ulipo hapo..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nilisikia kwamba kuna mchawi mmoja huko kasulu.,mkoan kigoma ya kuwa kuna mchawi mmoja alienda makabulin alipofika akafanya yake mara ghafla maiti ikamganda...,ebu mtujuze.!
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Kuna uzi uliletwa na mdau m1 kutoka Bukoba akieleza kuwa alipata gazeti la mwanaspoti la siku ya jumamosi alfajiri tofauti na kawaida kupata gazeti mida mibovu. Akajaribu kujiuliza mwananchi comm...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali ilisema imemsimamisha mchimba ugongo maeneo ya MTEKE wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ila huyu jamaa bado tu anazidi kuchimba na kusafirisha na kupeleka Mombasa ambapo ndo unachujwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sos itv
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu leo toka asubuhi airtel internet imegoma...inaonyesha kuwa connected lakini haifanyi kazi
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pele aliyepata kuwa mwanasoka mweusi mashuhuri ulimwenguni yupo sasa nchini. Ni fursa hiyo kwa Tanzania Tourism Board kumchangamkia na kupata naye mkataba wa kutangaza vivutio vyetu. Matangazo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya SIMBA kupata kichapo Leo, angalau kesho KUTAKUWA KIMYA, chezea Yanga weyeeeeeeeeeee!!!!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF kuna Mnyarwanda aitwae Safari Vianney tajiri wa mifugo aliyenunua mashamba Wilaya kijiji cha Lukole na kuweka uzio kuzuia mtu yeyote kuchungia maeneo hayo. Kutoka na agizo la wazri wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe-Mramba 2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora-JK 3.Acheni wivu wa kike-Mr Ben NB;tutafika tu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, nimekutana na picha hii ya mtu anayefanana sana na Baba wa Taifa. Wapo wanaosema ni yeye, lakini wengine wanasema ni mdogo wake. Mwenye kumjua atusaidie.
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Wana jamvi naomba kuleta hoja hapa ili mwisho wa siku niwaelewe hawa watu nijue jinsi ya kushughulika nao Julai mwaka jana nilimtuma mwenzangu kulipia kodi ya nyumba miezi sita, akafatiliwa na...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mwanamuziki wa kike Rehema Chalamila maarufu kama Ray C kwasasa anaishi maisha magumu baada ya kuathiriwa na kinachosemekana kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya kwa muda mrefu. Mwanadada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…