GOLO Soni (45) mkazi wa kijiji cha Jihu, kata ya Badi, wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu, ameuawa kwa kunyongwa na kisha mwili wake kuzikwa katika shimo la choo kijijini humo.
Kwa mujibu wa...
Makamo wakwanza wa rais Zanzibar Maalim Seif
Novemba 5 visiwa vya Zanzibar viliadhimisha mwaka wa pili tangu kuundwa serikali ya Umoja wa kitaifa kati ya chama cha mapinduzi CCM na kile cha...
Naomba kuwauliza viongozi wa serikali ya CCM kuwa kushindwa kununua mazao ya wakulima ndiyo mafanilio ya sera ya kilimo kwanza? Nauliza hivyo kwasababu hadi hivi leo korosho za wakulima bado...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akimpa pole katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aliyelazwa katika chumba maalum katika Hospitali ya Taifa...
Hivi kuna mtu anajua kwa nini huu mtandao wa BUMBULI imekaa kichogi chogi?
Mbona haina maelezo ya shughuli zao, wanafanaya nini na washafanya nini? Picha za uthibitisho na miradi yao na watu...
Mwafrika yaani mzungu ni binadamu wa kawaida na wanaheshimiana.jamani black America duh ,hata makazini utakuta mwafrica anaaminika kuliko black america.wana matatizo gani ?
Kwa kawaida kama ni dereva waweza kuendesha gari na unamiriki leseni kiharali unaweza gari mji wowote bila tatizo lolote labda utapata taabu kdg kwenye nchi ambazo zilitawaliwa na wafaransa. Hawa...
Wanajamii wanapaswa kuishi kwa kuheshimiana, kuhurumiana na kusaidiana. Hizi ni nguzo muhimu sana katika jamii yoyote ile anayoishi mwanadamu. Hakuna mtu anayeweza kujidai kwamba, hamuhitajii mtu...
Nawasilisha mtizamo wangu kuwa kuna uhusianio mkubwa sana kati ya mahali unapozaliwa, kukulia na kuishi ukiwa mtu mzima katika kufanya shughuli mbali mbali. Nasema hivi kwa sababu kwa ushindi wa...
Wana JF bila shaka kwea weledi wa mambo wanafahamu misingi muhimu ambayo nchi ikiwa nayo huhesabika kuwa ina maendeleo au ili ifikie katika maendeleo inapaswa kuwa na misingi hiyo. Misingi hiyo ni...
Ni miaka takribani miwili tokea uchaguzi mkuu ufayike mwaka 2010, katika kipindi hiki nchi imeshuhudia mabadiliko makubwa ya upepo wa kisiasa kwanza kwa Chadema kukusanya watu wengi sana katika...
Hali si shwari mpaka wa mutukula upande wa tanzania. Kuna vurugu kubwa zinaendelea hapa mpakan.
Mutukula ni mpaka kati ya tz na uganda. Vurugu hizo kati ya wananchi na uongozi wa halmashauri ya...
Maafisa wa idara mbalimbali katika halmashauri ya wilaya wamehamishwa na wengi wao kushushwa nyadhifa walizo nazo hali hii imetokana na wengi wao kutumia madaraka yao vibaya.Mmoja atolewa afsa...
ni muda mrefu sasa kumekuwa na migogoro kati ya wafanya biashara wadogo maarufu Kama Machinga na Manispaa, ambapo mgambo wa Manispaa wamekuwa wakiwafanyia udhalilishaji mkubwa vijana hawa kwa...
Wakuu wa JF:
Natumai hali yenu ni nzuri sana,
Napenda kuwajulisha kwamba hivi sasa kuna mvutano mkali sana unaendelea kati ya madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo kuhusiana na mgawanyo wa mali...
Mambo ya Twitter! Kagame anaongoza, JK wa pili...... namuomba JK ajiunge na huku JF, achombeze na ma-great thinkers wa bongo!!!
07 November 2012 10:10 | By Kate Hodges
African Presidents On...