Maafisa wa idara mbalimbali katika halmashauri ya wilaya wamehamishwa na wengi wao kushushwa nyadhifa walizo nazo hali hii imetokana na wengi wao kutumia madaraka yao vibaya.Mmoja atolewa afsa taaluma wilaya (sekondar) hadi mtwara ttc mkufunzi wa kawaida.
Kama sijakosea huyo afisa taaluma ni yule mwenye aliyegombea ubunge jimbo la mlalo-lushoto. Pia kapwinga chini kwenye nafasi za chama ccm. Pole sana mkuu. Cheo ni dhamana, ila usisahau Ni UPEPO..tu. Vipi yule Mwl, wa Magom...sec..vipi ..unakwenda naye mkuu..