Dk Bilal amkagua Sheikh Soraga leo

Dk Bilal amkagua Sheikh Soraga leo

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
858
Reaction score
131
[h=3][/h]



​
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akimpa pole katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aliyelazwa katika chumba maalum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu baada ya kumwagiwa Tindi kali huko Zanzibar.

Chanzo zanzinews


Imewekwa na MAPARA at 8:42 PM
 
Huu ni mwanzo tu Mwl. Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana walianza pamoja kuwabagua wakristu wakamaliza sasa ni wataenda kwa madhehebu yao wenyewe ya usuni na uashia wakimaliza hapo watakuwa wamepata akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom