Haya ndiyo mafanikio ya kilimo kwanza?

Haya ndiyo mafanikio ya kilimo kwanza?

Mkulia

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
375
Reaction score
95
Naomba kuwauliza viongozi wa serikali ya CCM kuwa kushindwa kununua mazao ya wakulima ndiyo mafanilio ya sera ya kilimo kwanza? Nauliza hivyo kwasababu hadi hivi leo korosho za wakulima bado hazijanunuliwa na hata dalili za ununuzi wake hazionekani. Hivi serikali inamfikiria kweli huyu mkulima maskini? Kama serikali inashindwa kumtafutia mkulima soko la kuuzia mazao yake tena kwa bei nzuri huo ukwanza wa kilimo upo wapi? :A S cry:
 
1.KILIMO NI UTI WA MGONGO
2.MILANGO IPO WAZI
3.MKUKUTA
4.KILIMO KWANZA
Kila mtu lazima aje na lugha yake kwani waliotamka hayo ya awali walitekeleza?
 
1.KILIMO NI UTI WA MGONGO
2.MILANGO IPO WAZI
3.MKUKUTA
4.KILIMO KWANZA
Kila mtu lazima aje na lugha yake kwani waliotamka hayo ya awali walitekeleza?

usijali SIASA NI KILIMO........
 
Back
Top Bottom