Wana JF bila shaka kwea weledi wa mambo wanafahamu misingi muhimu ambayo nchi ikiwa nayo huhesabika kuwa ina maendeleo au ili ifikie katika maendeleo inapaswa kuwa na misingi hiyo. Misingi hiyo ni ipi naomba mchango wenu. tuelimisheni wajuzi.
KWA ALIPOSEMA WATU ALIKUSUDIA WENYE AKILI AU HATA WAJINGA? naomba ufafanuziKatika hivyo vinne alivyotaja Nyerere sisi hatuna watu. Waliopo wote akili zao ziko kushoto