TANGA maji kero...

TANGA maji kero...

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
339
Reaction score
439
Toka jana jioni, mida ya saa 10, maji yamekatika maeneo ya Makokora, Usagara na Sahare, nini tatizo? Wenye taarifa tupeni au mgao wa maji kama umeme maana muda huu umeme nao umekata. Mungu tusaidie.
 
Back
Top Bottom