Jamani ccm na uchaguzi wa ndio au hapana.

Jamani ccm na uchaguzi wa ndio au hapana.

Wikiliki

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
528
Reaction score
141
Jamani hivi ni democrasia gani ccm wanatuonyesha ya kupigia kura ya ndio au hapana katika dunia hii. Hebu tujuzane katika dunia ya leo kama kweli huu mfumo bado upo.
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Kupiga kura ya ndiyo au hapana ni kuminya demokrasia sawa ni miaka ile ya 47. Kiuhalisia hakuna demokrasia ndani ya CCM ingawa Nape anataka kutuamisha kuwa ndani ya chama chao demokrasia imetamalaki.:nimekataa
 
aiseeee babaangu hata mimi nakumbuka miaka ya 1950 darasa la 3 wakati 2namchaguwa kiranja 2lipiga kura kujaza majina yao na si ya ndio hau hapana
 
Pale dom ni kungonoana tu hakuna lolote la maana!
 
Back
Top Bottom