Moshi mweusi wafuka tanga

Moshi mweusi wafuka tanga

Status
Not open for further replies.

Wizzard Wweed

Senior Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
106
Reaction score
17
Kwa mara nyingine tena katika hali inayo onekana ya kutaka kuleta machafuko hapa nchini kwetu,leo huko mkoani TANGA kaibuka kijana wa ki-islam alie kojolea BIBLIA kwa kile kinacho onekana kulipiza kisasi kufuatia kisa cha yule kijana wa mbagala aliefanya jaribio la kuthibitisha kama kukojolea MSAHAFU hakuwezi kumfanya mtu ageuke kuwa NYOKA,jaribio hili lilifanywa na kijana(mtoto) huyo baada ya kuletewa kitabu hicho na kijana(mtoto)mwenzie kuja na kitabu hicho na kubishana kwa suala hilo la mabadiliko ya ki-maumbo.
** * Huyu wa leo yeye hajaletewa na mtu,wala hapakuwa na mabishano kuhusu kitabu hicho kitakatifu kwa waumini wa ki-kristo ila tu kwa kuwa kile cha waumini wa ki-islam QURAN tukufu kilikojolewa basi nae kaamua KURUDIA ATUKIO KAMA LILE.
chanzo cha habari hizo kinatonya kwamba viongozi wa ki-kristo wameripo pia jambo hilo kuambatana na uchomwaji wa makanisa matau(3)na WAISLAM hapo mjini Tanga,
* * Habari hiyo ilizidi kujuza kuwa imeonekana kuwaJESHI la POLISI limefumbia macho suala hilo kwani mpaka vyanzo hivyo vinakwenda hewani usiku huu hakuna mtu YEYOTE aliechukuliwa hatua za kisheria mbali na watu hao kujulikana kwenye jamii husika.
* * * maswali
ya kujiuliza/kuwauliza jeshi la polisi:
1/:Jeshi la POLISI mbona mnajishushia UWELEDI wenu?,
*2/:mnataka mpaka hali iwe mbaya ndo mjae mabarabarani mkisaidiana na jeshi la wananchi KUFUJA,KUPOTEZA MUDA NA NGUVU bila sababu za msingi?
*3/:Au mnahamu ya kutumia tena hayo mabomu yenu ya machozi?,kama jibu NI hapana mbona hamshughuliki na huu moshi kabla mioto na milipuko haijatokea?

USHAURI:Ni vema jeshi la polisi mkachukua hatua za kuzima ujinga na upumbavu huu kabla haujaleta madhara na mtafaruku kwa jamii. wenye akili finyu kama hii ya kulipiza KOSA Kwa kufanya kosa bado wapo wengi kwenye jamii yetu ambayo bado ina pambana na ma adui wa tatu yaani maradhi umaskini na UJINGA,tena hili la UJINGA hapa naona LIMECHIPUA kuelekea UPUMBAVU.
*MWISHO vijana (Watoto) wafundishwe ukweli kuhusu KUHESHIMU vitabu vya dini na sio kuwafundisha U-ONGO badala yake wanazua mabishano kama haya ambayo baadae yanaleta shida kwa taifa.)
*
source: RADIO1
 
Waislamu hawana historia ya kukojolea au kudhalilisha imani za dini nyingine! nawasiwasi na baadhi ya wakristo ndio wanahusika na udhalilishaji wa biblia! lengo ni kutaka kuwashughulikia Waislamu!
 
mambo mengine ni upuuzi tu na wala hayana haja ya kuyajadili. Kama kweli kakojolea bible na aliinunua mwenyewe basi mwambie kuna duka linauza bible kwa half price akazinunue zote akojolee halafu aone kama kuna mtu atamuuliza au hata kumkemea. hukumu yake itafuata wakati utakapokuwa muafaka kwake kuhukumiwa na Mungu
 
Waislamu hawana historia ya kukojolea au kudhalilisha imani za dini nyingine! nawasiwasi na baadhi ya wakristo ndio wanahusika na udhalilishaji wa biblia! lengo ni kutaka kuwashughulikia Waislamu!
Umenisikitisha kwa upendeleo ulionao ambao unasababishwa na udini ulionao
 
mambo mengine ni upuuzi tu na wala hayana haja ya kuyajadili. Kama kweli kakojolea bible na aliinunua mwenyewe basi mwambie kuna duka linauza bible kwa half price akazinunue zote akojolee halafu aone kama kuna mtu atamuuliza au hata kumkemea. hukumu yake itafuata wakati utakapokuwa muafaka kwake kuhukumiwa na Mungu
Umesema vema mkuu. Akitaka anunue zote zilizopo dukani akojolee. Ukristo haupiganiwi kwa mapanga. Wenyewe wafanye wawezalo, sisi tutawaombea tu ili Mungu awasaidie siku moja waijue ile iliyo kweli. Hatuna hata muda wa kubishana nao. Naamini walioreport polisi, wamefanya hivyo kwa ajili ya makanisa yaliyochomwa ili kuweka record polisi na si kwa sababu ya biblia iliyokojolewa.
 
Waislamu hawana historia ya kukojolea au kudhalilisha imani za dini nyingine! nawasiwasi na baadhi ya wakristo ndio wanahusika na udhalilishaji wa biblia! lengo ni kutaka kuwashughulikia Waislamu!

Mihadhara ya kashafa na kuitwa wenzio kafir inafanywa na nani? Ni wa kristo?
 
Nadhani wewe ndo mdini,
Naomba nisichangie maana uislamu na uhuni umewajaa hata hawa mnaowaita Mods nadhani ni wapuuzi fulani hivi ambao Mada zinadhalilisha ukristo wanazifurahia maana ukichangia negative za waislamu eti wanakupiga ban...Kwanza naona hata hii JF nihame haina maana kwa GT kama mimi kuwa kwenye mtandao unaoendeshwa na vilaza wa kiislamu kama hawa Mods.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom