Katika kipindi cha awamu iliyopita, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, alionesha uongozi madhubuti, uwajibikaji, na moyo wa kujitoa kwa...
Hili ni jambo la kusikitisha sana Viongozi wetu walojiapisha wenyewe bila ridhaa ya watanzania tena kwa mabavu, madaraka ambayo watanzania wengi wamepoteza maisha yao wakipambania haki katika...
Maboss zangu mko poa ..
Angalia picha zote uone kabla na baada(before and after) ya kuweka showcase..
Showcase za kujengea za kisasa kabisa..
Maboss zangu wengi mnatakaga kujua gharama ila hizi...
Salaam , Shalom!!
Angalizo: Jiepushe kuandika kejeli au upuuzi juu ya maneno ya unabii huu, maana maneno haya, yametoka katika kinywa Cha Mungu kupitia kinywa Cha Nabii wake, Ili kujiepusha na...
Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa...
Ukiangalia mkeka vizuri utagundua Mawaziri wengi wamewekwa wizarani bila kuwa na CV zinazotosha kwenye wizara hizo.
Wizara ya Afya anapewa Mchengerwa wakati hana background nzuri ya mambo ya...
Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa...
Sio kukubali hawa wahuni kuwa matendo yao yanaweza kuwa makubaliano kuwa sisi ni wapole na wapenda amani.
Watu wamekufa vifo vibaya sana tena kama vina amri toka juu.
Kuna mtu alipigwa risasi...
Ukweli unafutwa na ukweli watu wakisema mnaona wanakosesha amani kwa hawa chawa wa utawala usiokuwa na aibu wakionesha dunia kuwa viliza wa kwanza.
Yanayo kuja hata mahakama ya wahuni itashindwa...
Habari Tanzania !
Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi.
1. Kila...
Wanajamii, sijui nianze na kulia...
Natamani nipige ukunga watu wanisikie, wajue mpaka ndani mwangu navyoumia. Natamani nipate wa kumweleza huu uchungu wangu ninavyojisikia kwa sasa, lakini...
POLISI
"Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria".
KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA??
WAMEFANYA MAUAJI YA...
Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania
2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu
3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya.
4. Mwanaenzi...
Salut kwenu great thinkers wa JF.
Hivi karibuni nimeshuhudia uenezi wa taarifa za kipvmbavu sana kupitia hii media house. Moja ya taarifa hizo ni hizi hapa chini
1.ALIKIBA APOSTI PICHA AKIWA...
Samia aunda tume Kuchunguza ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa uchaguzi, itaongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande
Rais Samia ameunda Tume ya Uchunguzi kwa ajili ya kuchunguza ‘matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.