Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa...
0 Reactions
4 Replies
225 Views
19 November 2025 Lusaka, Zambia Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) Makamu wa Rais...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Kijana Gen Z ambaye amekuwa maarufu hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii kwa kuibua kashfa nzito akijiita Habil ni Mtanzania mwenye miaka 28 na alienda Marekani akiwa mdogo. Licha ya lafudhi...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii wa JF, Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu. Katika ardhi hii ya...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu, UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania...
3 Reactions
9 Replies
365 Views
Picha inamuonesha mstaafu huyo akienjoy maisha sura ikiwa na nuru na bashasha huku moyoni akisema msemo wa Herode "nimenawa mikono".
8 Reactions
13 Replies
657 Views
Asalam Alyekum.. Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza...
10 Reactions
12 Replies
404 Views
Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale...
1 Reactions
20 Replies
517 Views
Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
0 Reactions
10 Replies
644 Views
Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC. Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Dereva bodaboda Stefano Maziku (25), mkazi wa Kitongoji cha Igwesa, Kijiji cha Iboja, Kata ya Ukune wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga, amekutwa ameuawa kisha mwili wake kutelekezwa na...
3 Reactions
6 Replies
457 Views
Kupitia mitandao ya kijamii Joseph Mbilinyi (Sugu) amewatoa wananchi wasiwasi kuwa sio yeye aliyeonekana kwenye video katika kilichotafsiriwa kama jaribio la utekaji: "Taarifa: Poleni sana kwa...
3 Reactions
12 Replies
677 Views
Nimepita saa kumi na Moja asubuhi na usafiri binafsi hapo mlima kitonga nimeona Kuna watu hawaeleweki wamevaa kininja ni wengi halafu Wana silaha aisee mpaka nikataka kugeuza safari wakaniambia...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake? Fungukaaaaaa!
0 Reactions
5 Replies
285 Views
Kabla ya yote, kwanza pita katika Thread 'Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika' kisha ndo tukae kujadili title ya uzi huu hapo juu “Nikwanini...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Cc: Dkt. Gwajima D hakika Umetuheshimisha sana tu Dada yetu na binafsi nakutakia kila la kheri mno katika Kazi zako.
3 Reactions
14 Replies
286 Views
Watoto wawili wa kike, ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 11 na wanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Kizimbani, wamekutwa wakiwa wamefariki baada ya kujinyonga. Tukio hilo limetokea...
2 Reactions
13 Replies
722 Views
Halafu nitapenda pia kujua kama yale ya mwanzo tuliyoshawishiana kama haya yajayo yalileta matokeo mema pia.
4 Reactions
32 Replies
810 Views
Mbona sijaelewa. Yaani watu walimpigia simu msaidizi wa Pilipili (Hassan) wakaomba wakutane naye. Alipokutana nao walikuwa watatu kwenye gari ndogo nyeupe na Pilipili akiwa majeruhi. Kisha...
1 Reactions
2 Replies
436 Views
1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa...
29 Reactions
460 Replies
12K Views
Back
Top Bottom