TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa.
Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa...
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi
Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa...
Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji na Bodaboda mkoani Kilimanjaro kinawataka waendesha vyombo hivyo vya usafiri kutokujihusisha kwa namna yoyote na matukio ya vurugu au uvunjifu wa amani...
Mc Pili pili alipata fursa ya kumtambulisha mzazi wake jukwani mda anatoa Comedy jambo ambalo lilikua jema , Mama alipewa nafasi ya kwanza kumsalimia Ridhiwani Bila yeye kujua Ridhiwani ni nani...
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke...
Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao!
Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo...
Watanzania na Serikali tulinde sana nchi yetu kwasababu vita ya Wakoloni bado ipo, wanatumia mbinu mpya ya Mapandikizi kuharibu Uhuru wetu
Hakuna Wanafiki wa kuwafikia Wakoloni walioendesha...
My people,
Hii hapa Summary ya Kitabu cha Gifted Hands kwa Kiswahili na Kiingereza.
Nimekisoma ni kizuri sana....
"Gifted Hands: Hadithi ya Ben Carson" ni kitabu cha wasifu kilichoandikwa na Dr...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa...
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania
Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na...
Habari wanajukwaa,
Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana.
Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha...
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa.
Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa...
Hapo vip!!
Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025.
Na nimeona mambo haya:-
1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika.
2.Hakutakuwa na umwagikaji damu...
Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia...
Habari zenu ndugu zangu,
ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi...
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi.
Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu?
Written by Mjanja M1 ✍️
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Mawaziri wote mliopewa dhamana ya kulitumikia Taifa letu. Kuteuliwa kwenu ni ishara ya imani kubwa mliyopewa na uongozi wa juu wa nchi pamoja na matumaini ya...
Nimekuwa nikimfatilia ndugu Robert Heriel Mtibeli pamoja na Ndugu Joel Nanauka .
Wote hawa huwa nasoma makala zao Facebook na katika WhatsApp Channel zao.
Niseme hawa jamaa wamebarikiwa Sana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.