Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa hiyo tume inachunguza nini wakati vitu viko hadharani? Yaani unachunguza nini wakati vitu vinaonekana? Tanzania tumekuwa tukipumbazwaara nyingi na hizi tume ambazo huwa zinaibuliwa mara baada...
2 Reactions
3 Replies
163 Views
Nimebadili VPN lakini hakuna kitu.
2 Reactions
42 Replies
960 Views
Ni kweli kifo kinaogopwa dah leo baada ya kupata dalili fulani nikaona isiwe kesi acha nizunguke kwenye youtube nikapate uahauri kidogo wa video za madocta wa youtube Nilichokutana nacho hakika...
0 Reactions
3 Replies
227 Views
Msanii na mtengeneza maudhui ya mtandaoni (Digital Content Creator) Bw. Clemence Mwandambo amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya tarehe 17 Novemba 2025 kwa ajili...
2 Reactions
15 Replies
571 Views
BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika. Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha...
8 Reactions
24 Replies
896 Views
Kitabu East of the Sun kinazungumzia jinsi warusi walivyolichukua eneo la Siberia. Migogoro yao na wenyeji, Wachina, Wajapan na madhara ya kufika kwao kwa wenyeji. Kinaelezea jinsi explorers...
1 Reactions
1 Replies
144 Views
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake. Upande wa afya mambo ni...
39 Reactions
177 Replies
8K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert John Chalamila, amefanya ukaguzi maalum katika eneo la Mbagala ili kujionea uharibifu uliotokea kufuatia tukio la maandamano lililotokea tarehe 29...
2 Reactions
16 Replies
658 Views
Habari Tanzania ! Nawaomba sana watu wote wanaomiliki maeneo ya biashara, makazi na maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi; wawe wanaweka vifaa vya kukinga moto. Hii iwe ni utamaduni wetu...
0 Reactions
6 Replies
291 Views
Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika...
26 Reactions
56 Replies
2K Views
Habarini Naomba huu uzi uwe ni daraja la kuwatumbua wote wenye elimu za kuunga unga ili iwe kama tahadhari kwa wanaowateua na kuwapa nafasi. Hapa zitawekwa CV zao na itakua kama database ya...
2 Reactions
13 Replies
353 Views
Salamu yangu kwenu siku ya leo inatoka 2 Wafalme 4:26 [26]Tafadhali piga mbio sasa kwenda kumlaki, ukamwambie, Hujambo? Mume/mke wako hajambo? Mtoto/watoto wako hawajambo? Akajibu, Hawajambo...
1 Reactions
5 Replies
310 Views
Huyu ni kijana CELEBRITY, Star (Nyota), Mtu "mkubwa", Influencer and many other celebrity titles. SWALI: INA MAANA ALIKUWA PEKE YAKE NJIANI KUJA DODOMA BILA WALINZI?
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa. Marehemu alikuwa mke wa...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi...
6 Reactions
103 Replies
3K Views
Hawa LATRA leo wameamka na mimi maana tangu asubuhi haipiti nusu saa bila kupata sms zao. Hivi kuna posho kwenye hiyo conference.
0 Reactions
6 Replies
245 Views
Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza, ni kwa nini baadhi ya mawaziri maarufu na waliotarajiwa wamewekwa pembeni katika uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri? Je, ni kushindwa kutimiza majukumu yao...
0 Reactions
9 Replies
555 Views
Wakuu Naona projects za kusafishana zinaendelea. Huyu anayejiita Ostadh Juma na Musoma amajitokeza hadharani na kumsifia Kamanda Mafwele kuwa ni mtu poa sana na wanaomcukia watakuwa ni majambazi...
0 Reactions
15 Replies
584 Views
Back
Top Bottom