Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuwekwa ndani kwa wakandarasi wa kampuni kutoka China ambao wameshindwa kutimiza masharti ya mkataba wa ujenzi wa barabara ingawa serikali imetimiwa...
0 Reactions
9 Replies
378 Views
Hawa watu wa Baraza la... hawaaminiki ndo maana tunasema sio wawakilishi wa waislam na wapuuzwe. Nakumbuka ilikua mwaka 2020 kuna Sheikh mmoja mkubwa wa Baraza... na maarufu nilimuona akila Mbuzi...
1 Reactions
13 Replies
428 Views
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa rehema zake. Kwani bila yeye tusingeweza kufika hapa binafsi mimi ni muumini wa HAKI kwa sababu haki siku zote ndo huleta amani. Basi kwa imani...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Si Wasukuma wote huvaa vazi hili, lakini limezoeleka sana kwa wachungaji wa ng’ombe porini na vijijini.
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Salama wakuu Leo hii tarehe 21 November. RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY hapo Iringa Wana jambo Lao pale, graduation ya kukata na shoka sasa kwa bahati mbaya kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha...
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Naituma kama nilivyoipokea kutoka jukwaa la masheikh. Nitamrekebisha shekh aliesema watu watakatwa (vichwa) na kuzungumzia wakristo kama ndio njia ya ukosefu wa amani Hakuna shekhe, kiongozi, au...
7 Reactions
11 Replies
883 Views
Hakika hawa jamaa wa media hawakujua nao nao siku moja watakuwa victim . But atleast huu ujumbe wameweza kuufikisha kwa ustadi sana
3 Reactions
9 Replies
961 Views
Kwa nia njema tu. Ustaadh ni daraja gani katika elimu ya kiislamu. Cheo/ ngazi hiyo unaipata unapomaliza elimu ya kiwango gani? Kwanini nauliza hivyo? Hawa ndio wanaokuja kuwa Think Tanks za...
3 Reactions
9 Replies
344 Views
Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show...
16 Reactions
147 Replies
6K Views
Umofia kwenu wanaJF, Namba moja ana elimu ya hapa na pale ikiwa imesheni vyeti vya elimu ya chini vya kutosha. Pia binti yake ambaye amekabidhiwa kitengo nyeti kuhusu elimu na yeye elimu yake...
3 Reactions
9 Replies
445 Views
GT Hapa ni shinyanga watu hawataki ujinga. Wito kwa watanzania wote Tanzania tuendelee na huu ukali dhidi ya mamlaka.
6 Reactions
21 Replies
827 Views
Wakati tukiwa njiani kuindea D9 , nivyema tukawakumbuka mashujaa wote walioanguka kwa ajili ya Tanganyika kuanzia Siku ya 29.10.2025 nakuendelea. Binafsi nitapenda machache yafuatayo yafanyike...
2 Reactions
7 Replies
252 Views
Baada ya watu fulani kutaka kutugombanisha Watanzania kwa kutumia UDini, huu ndio uamuzi wa Waislamu na Wakristo nchini. Kuanzia sasa, salamu za Merry Christmas tutakuwa tunatakiana kwa kusema...
4 Reactions
5 Replies
427 Views
Hadi sasa wanakana kuhusika na mauaji, wanajitahidi kwa nguvu zote kuzihakikishia jamii za kimataifa, taasisi za kimataifa, vyombo vya habari vya kimataifa na mashirika mbalimbali kwamba...
15 Reactions
17 Replies
683 Views
“Lakini sasa mnanitafuta kuniua, mimi mwanadamu niliyewaambia kweli niliyoisikia kwa Mungu. Haya siyo aliyoyafanya Ibrahimu.” (Yohana 8:40) Wayahudi walitaka kumuua mtu, kwa sababu katika...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Nina pinga kwa nguvu uhalali wa serikali , bunge , na uongozi wote kwa sababu ya wazi ya kukosekana kwa upigwaji kura halali. Serikali hii haijachaguliwa kwa njia za kidemokrasia, na hivyo...
2 Reactions
3 Replies
193 Views
Yesu wa Nazareti hakuwa tu mwalimu wa dini; alikuwa kielelezo cha uhuru wa kiroho na haki ya ndani isiyotetereka mbele ya mamlaka ya kidini na kisiasa. Alisimama mbele ya taasisi zilizojaa...
1 Reactions
4 Replies
356 Views
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Ushirika wa wachungaji wa Kanisa la Kipentekoste Tanzania (PPFT)umeiomba serikali ifute usajili wa Kanisa la Ufufuo wa uzima la Askofu Josephat Gwajima kwa kukiuka maadili ya kanisa kwa kutoa...
8 Reactions
198 Replies
37K Views
Samia azindua Tume ya Uchunguzi wa ‘Matukio ya Uvunjifu wa Amani’ wakati wa Uchaguzi, ataka uchunguzi kauli za upinzani, ushiriki wa NGO na madai ya vijana kulipwa kufanya vurugu Rais Samia...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…