Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM.
Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza...
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote...
A) Wayahudu
Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana
Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende...
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha...
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa.
Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar.
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa...
Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa
limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni
kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa
na hisia, kumbukumbu na michakato
mingine ya kujifunza. Huhusika katika...
Hellow Great Thinkers!
The LORD is good!!!
wakuu, nina visolar viwili hapa 30watts na 15watts ipi... Connection nzuri kati ya series na parallel....
Kwa batter ya 18(AH)...
Karibuni sana wakuu....
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli.
Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya...
Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea.
Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi...
Waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava wamelipa faini yao pamoja na kumlipia msanii Godfrey Tumaini (Dudu Baya) faini ya shilingi milioni 3 iliyotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa...
Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k.
Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi...
Hapo mwanzo tuliambiwa kwamba saizi hakuna ukabila wala udini wala rangi, lakni wahenga hawakukosea kisema kua uyaone inshort ni kwamba idara ya uhamiaji kumejaa ukabila uliokithiri hasa pale...
Kuna kipindi nilikuwa nasoma UDOM, na kama umewahi kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, utakuwa unaelewa vizuri kabisa maana ya kutafuta sehemu ya kuishi.
Unaweza ukafika eneo fulani ukiwa na matumaini...
Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.
Ni huku...
Ukitumia mitambo ya kisasa kuwapima ccm utagundua kua sasa wanaenda kwa kunyweshana vikombe vyenye sifongo hasa wale top list ya nchi na mimi naona huko mbele kuna watu watapotea hasa wa hawamu hii
Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba...