GONGO BOY
Senior Member
- Jul 18, 2026
- 100
- 190
Hapo mwanzo tuliambiwa kwamba saizi hakuna ukabila wala udini wala rangi, lakni wahenga hawakukosea kisema kua uyaone inshort ni kwamba idara ya uhamiaji kumejaa ukabila uliokithiri hasa pale unapokuwa unahitaji NIDA yaan ukifika pale hata mkiwa wawili mmoja akajitambulisha kwamba yeye ni mfipa ama mndali au mgogo then wew ukajitambulisha kwamb ni muha hao wengne watagongewa muhuri lakni wew utakaa hapo hata masaa mawili ya mahojiano na mwisho utaambiwa ukamlete mzazi lakni makabila mengne yanapita bila shida kabisa
SWALA HILI LITAZAMWE KWA JICHO LA TATU
SWALA HILI LITAZAMWE KWA JICHO LA TATU