Maji yenu yanatoka machafu kama haya?

Maji yenu yanatoka machafu kama haya?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
751
Reaction score
1,694
Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.

Ni huku kwangu tu na huko ulipo hali ni hii hii?

#Rais wa Mbezi Beach, Dar

View attachment 3679377
View attachment 3679379
Naona kama vile hauko sawa kichwani, maji ya Kigoma na Dar husambazwa toka vyanzo tofauti, maji ya Kilimanjaro na Afya husambazwa na viwanda tofauti na maji ya mvua na visima nayo yana tofauti, sasa sijui unasema yapi.
 
Maji masafi kabisa hayo nenda Butiama ukajionee CCM inavyotesa wanancho wake
 
Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi.

Ni huku kwangu tu na huko ulipo hali ni hii hii?

#Rais wa Mbezi Beach, Dar

View attachment 3679377
View attachment 3679379
Kumbe Dar kuna sehem maji yanatoka ya bomba?? Asee huu mji kumbe ni mkubwa sana. Mim nilikuwa najua Dawasa ilishakufa.
 
Back
Top Bottom