Nanukuu kutoka facebook page ya UAMSHO...
"TANGAZO LA KIFO JUMUIYA YA UAMSHO INATANGAZA KIFO CHA MTOTO WA SHEIKH MSELEM ALI KILICHOTOKEA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA LEO JIONI. HABARI ZIWAFIKIE...
Friday, November 30, 2012
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid Mohd nyumbani kwa Mbunge huyo Mikocheni jijini...
Njia ya Mwongo ni fupi. Wiki hii na iliyopita gazeti la Mtanzania liliripoti sana habari za mgogoro kati ya Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr. Slaa na vijana wa Chama hicho. Kiasi cha watu wengi nikiwemo...
Gari la Falcon lenye number za usajili T847BGU linalofanya safari zake nchini Tanzania na Uganda kwa kupita mkoani Kagera ambalo limeanza safari jana alfajiri na katika majira ya saa nne...
We are delighted to be announcing the acquisition of Lonrho Aviations Fly540 business with its unique platform of hubs, fly rights and growing passenger revenue base. The combined talents of...
Sikuwahi kukanyaga hospital hii tangu nizaliwe, leo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza. Hospital ni chafu, ya kizamani, vitanda na neti ni chafu sana, harufu mbaya ukiwa wodini, wagonjwa...
ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU
Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya...
Nadhani wengi wenu mtakuwa mnakumbuka jinsi watu wa Kipawa walivyohamishwa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwal Nyerere (Terminal III building). Nakumbuka hadi kibao chenye mchoro jinsi...
Wakiongea kwenye mkutano wa hadhra leo kwenye viwanja vya shule ya msingi mwaka,Diwani wa kata ya Tunduma Frenk Mwakajoka pamoja na mbunge wa mbozi Magharibi Devid Silinde bila kumsahau mh. Visent...
Wakati Ndugu Mwema akiingia madarakani alimwagiwa sifa kemkem kama ilivyo kawaida ya wanadamu lakini kadri siku zinavyoisha ndivyo anavyozidi kuwa tatizo kwenye jamiii.
Haya ni mauaji yasiyo na...
Hivi tanesco na wizara yake kudanganya hakuna mgao wakati umeme hautoshi kila siku unazimwa tena bila taarifa maanake nini?
Mnaonesha dharau kubwa kwa watanzania mnawadanganya kwamba sasa...
Habari za nyie kwa pamojaaaaaaa!!
Mapumziko ya mwisho wa mwaka ndo haya, and dys are numbered towards xmass, so kesho wadau ninajimuvuzisha kule kwa mutoto ya kiiraq, sasa kwa wanaofahamu pande za...
Mimi nadhani tuweke siasa pembeni lkn kusema ukweli kama tunataka kusaidia jamii lazima Ray C afikishwe mbele ya sheria kwa kosa la kutumia mdawa ya kulevya. Pia ataje watu wengine aliokuwa...
Sijui siku hizi Tanesco kuna kitengo cha kuharibu vyombo vya umeme kwa makusudi, huku Mwananyamala imekuwa kawaida kwamba lazima umeme uzimwe na kuwashwa mara kadhaa tena interval ya zima-washa ni...
Nimesikia tetesi nyingi mno kutoka kwa marafiki zangu wakisema UE kwa upande wa UDSM inaanza tarehe 28/06/2011, mwenye uhakika na habari hii naomba anijuze na averify.
Wanajamii, niko Dar, sijakutana na Mwita Maranya.....ushamba umenitoka kwa sehemu fulani. nimeshuhudia matukio fulani fulani. nilifika hapa tangu tarehe 2.11.2012 nitaondoka tarehe 16.11.2012...