Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtikila ni mbwa anabweka Serikali inampuuza baadhi ni ya kweli. mfano kuna Prof mmoja pale Morogoro kwa sasa anaishi Rwanda na Tanzania alikuwa mhadhiri SUA kwa muda mrefu kumbe ana asili ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
BUNDI ALIYEKUWA AKINYEMELEA KWA KASI CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO kncu SASA AMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAAFANYAKZI KUTISHIA KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA KATIKA UTENDAJI KAZI WAO...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia jinsi watu wanavyotumia hizi tissue za kushikia vitafunwa hasa kwenye migahawa hii ya take away, nimegundua wengi wetu hatuzingatii kanuni za afya maana hizi tissue ni...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Former President, Benjamin William Mkapa has handed over 30 houses to health workers in Mtwara, Newala and Masasi districts of Mtwara Region. Speaking during the handover ceremony, Mkapa, who is...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Habari, Samahani Dr.Manyau Nyau usinigeuze jinsia mimi naandika kuwapa taarifa wana JF kuhusu ulivyosema,akitirika kwenye you heard amesema member aliyemchulia kifo atamgeuza jinsia kwa mda wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu mimi vile vile ni mpenzi wa sports vehicles, speed and beutiful cars. Lakini ningependa kushare na wana JF juu ya magari haya kama nilivyoona mtandaoni. The Bentley GT has now...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Katika kile kinachoonekana benki zetu zinaendesha mambo bila mibadala,leo katika benk ya nmb Songea hakujakuwa na huduma kuanzia saa 2 asubuhi mpaka naondoka hapo saa 8.30!mchana Tatizo wao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wale waliosoma Godfather au kwa namna tofauti wana elimu ya jinsi wanachama wa mafia ya kitaliani inavyofanya kazi watanisapoti kwenye hii thread. Tangu kuwepo hoteli nyingi za wataliani...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, je mnajua kwamba nauli za daladala zimepanda kimyakimya na mamlaka husika zimekaa kimya. Nauli ya kawaida ya daladala kutoka Ubungo-Mbagala Rangi 3 ni Sh500 lakini makondakta na...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuanzia jana tarehe 15/12/2012 vijana wa kabila la wakurya mkoani Mara na nchi jirani ya Kenya wameanza kutahiriwa kama ilivyo mila na desturi yetu. Hizi ni baadhi ya picha za baadhi ya matukio...
10 Reactions
125 Replies
20K Views
Wakuu Hivi huyu Alex Kajumulo alipata wapi zile hela alizokuja nazo Tanzania miaka ya mwisho ya 1990's na kuzichezea katika ufadhili wa timu za mpira ( na akina Jamuhuri Kihwelu na Abubakar Kombo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Enyi vigogo wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)kumbuka mnavyofurahia maisha na familia zenu sisi wafanyakazi wa Mikoani kwa makusudi mmeendelea kututesa kwa kutucheleweshea mishahara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HATIMAYE wafanyakazi wa kampuni ya kusafirisha na kuuza mafuta ya jumla na reja reja Panone and company limited wamejikuta wakiumaliza vibaya mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya 2013 wakiwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Karibu mabasi yote ya Ubungo-Mlandizi yanaishia Kongowe hasa wakati huu wa usiku.Nijuavyo,hakuna hata daladala moja iliyopewa 'ruti' ya Ubungo-Kongowe kwasasa. Halafu,hata Askari wa Usalama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bundi aliyekuwa akinyemelea kwa kasi chama kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro (KNCU) sasa amechukua sura mpya baada ya waafanyakzi kutishia kugoma kwa madai ya kuingiliwa katika utendaji kazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni biashara ya watu tu ili wauze ving'amuzi vyao.Nchi yetu ilikuwa bado kuzima Analojia. Bado hatujajipanga. Wengi wanateseka...wanakosa habari.Kwani ni kweli kuwa Dijitali ni Ving'amuzi? Ndugu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Ubora wa picha katika ving'amuzi vya TING na Star times ni mbovu (picha zinaonekana zimepauka). 2. King'amuzi cha TING chenyewe kuna wakati picha zake huganda na wakati mwingine haionyeshi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
na Ahmed Makongo, Tarime WANAUME wawili wamefariki dunia kwa kuchomwa visu na kupigwa na mawe katika tukio la kugombea mwanamke wilayani Tarime, Mara. Kamanda wa Polisi wa Kanda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakuna thread ninayoipenda humu JF kama "WALINZI WA VIONGOZI MBALIMBALI DUNIANI"karibu kila siku naifungua asante kwa ICADON NA GAME THEORY. OMBI:Tafadhali naomba isifutwe jamani maana ntaugua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hali ilikuwa mbaya sana bkoz wengine walivaa nguo zinazotakiwa kuwa ndani, wao wakavaa nje... Najiuliza, kuvaa nusu uchi ndio kupendeza???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…