Wakuu, nimekuwa najiuliza sana juu ya hili, Tanzania imekuwa ikizalisha wasomi toka enzi za ukoloni, lakini cha ajabu ni kwamba mpaka leo hii Nchi yetu hii haizalishi chochote, mpaka vijiti vya...
Najua suala la pension limetaimiwa vizuri na watu. Si kwamba lina hoja ya kutisha hadi nchi nzima ikatetemeka, bali waliolikuza walicheza na uelewa wa wananchi kuhusu masuala ya Social Security...
Imekuwa kawaida kwa CCM kuitwa chama cha mafisadi. Kiukweli (au kisheria na kihalisia),wanachama wa CCM wote ni mafisadi? Kwanini? Nisaidieni Wakuu kuelewa hapa
Habari,
Jana katika taarifa ya habari ya StarTv walirusha habari inayohusu kuteketezwa kwa udongo uliopo mkoani Morogoro katika kijiji fulani.Wataalamu walisema udongo ule una sumu na hivyo...
Wapendwa tunasikitika kumpoteza mwalimu wetu mpendwa aka Mkuda Mr Mbise kwa wale wote waliopita Umbwe sec school miaka ya sitini mtamkumbuka alivyokuwa mcheshi kwa wanafunzi.
RIP MBISE...
Katika kipindi cha Jahazi (Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI".
Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata kama alikuwa na...
Ndugu wadau wa jamii forum:
Baada ya kufuatilia kwa umakini sakata la Gesi huko Mtwara linanipa picha ifuatayo
1} Watanzania sasa wanahitaji serikari ya majimbo
2) Wananchi wamechoshwa na umaskini...
WanaJF,
Binafsi bado nafikiria hii makala ya askofu mstaafu wa Capetown kwa wabunge wa Uganda.
To Ugandan MPs: God does not discriminate among our family - Commentary - monitor.co.ug
I have scoured the web for readership statistics of Tanzanian newspapers in vain. Is anyone here aware of any recent study on newspaper readership (esp. English newspapers)? I came across a...
Sielewi kwa nini Tanzania hatutaki kufanya mageuzi ya kweli na kuunda taasisi ambazo zitafanya kazi kwa ufanisi. Bado tumeng'ang'ania mifumo ya kizamani kama huu muundo wa kuwa na idara municipal...
Wana JF, kwa siku kadhaa nimekuwa nikiingia katika duka linalouza vifaa vya elimu la Tahfif, Mtaa wa Mansfield -jirani kabisa na Benki ya Mkombozi. Huyu jamaa (Mhindi) anayeonekana kuwa mmiliki wa...
takribani wiki sasa imekuwa ikionekana ndege zikishuka na wachina lukuki na airport kujaa kama vile tupo beijing!!
kulikoni jamani?? ndege aina ya boeng imejaa wachina zaidi ya mia mbili kama...
Hivi wanaume wenzangu how many extracurricular casual relationship can you have at a time. It just came in my mind and I started counting and I got 7. These are women I have seen in the last six...
Habari zenu wanajamvi.Hivi mchakato wa kuandikisha watu majina kwa ajili ya vitambulisho vya taifa umefia wapi?Nakumbuka mara ya mwisho mwaka jana kwenye mwezi wa 8 na 9 walisema wakitoka DSM...
wadau mvua ndio hizi na radi mtindo mmoja dar yetu hii.naomba kujuza radi nini,kuna uhusiano gani na ushikina,nitajirinda vp na radi.nikweli radi hufuata vitu vyekundu
mwandish wa habar isa nguma aliye uwawa na watu wasiojulikana,mwil wake umekutwa ukiwa hana sehemu zake za siri hivyo kuzua hofu juu ya walio muua kama kwel walihitaji roho au nyet zake kuna...
Wadau naulizia kuhusu sheria inayohusu fao la kujitoa kwa mwanachama wa NSSF,je bado hilo fao lipo ?na je mwanachama bado unatakiwa kusubiri hadi miezi sita ndio upate hilo fao?je ni kipengere...