Moto tegeta kwa ndevu:source EA redio

Moto tegeta kwa ndevu:source EA redio

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Mkubwa sana EA redio wanamnukuu muhemshimiwa sijamsikia ni nani
 
Anaitwa Mheshimiwa Diwani Ritte,anadai mpaka sasa Maduka zaidi ya 20 yameshaungua
 
Loh! Maduka 20 yameshateketea? Jamani kikosi cha fire wako wapi?

Serikali legelege ndiyo faida yake ndiyo hii!
 
Zaidi ya maduka 10 yameteketea kwa moto tegeta Sokoni. jitihada za kuuzima zinaendelea. Chanzo cha moto unasemekana ni hitilafu ya umeme.
Source. ITV Breaking newz.
 
Kwa mujibu wa breaking news radio one maduka 10 yameteketea kabisa hapo tegeta stand.poleni wahanga wote.
 
Kwani nyie hapo hamkua na habari kwamba barabara hiyo, Mwai Kibaki Road, iko mbioni kupanuliwa zaidi na zaidi lakini wachuuzi wakawa wametia kichwa ngumu??????
 
Kwani nyie hapo hamkua
na habari kwamba barabara hiyo, Mwai Kibaki Road, iko mbioni kupanuliwa
zaidi na zaidi lakini wachuuzi wakawa wametia kichwa ngumu??????

Kwa hiyo wanatekeleza maagizo au....
 
Siku zote maendeleo mazuri hujitokeza na upande wa pili wake wenye kuumiza tena sana kwa baadhi ya wananchi.

Barabara hii kweli kabisa itakapoboreka kwa viwango vinavyokisiwa hivi sasa hata hao WENYE VIOSKI WABISHI watabaki wameduazwa jinsi gani wataalam wetu wa mipango miji walivyoona mbali sana katika kuliboresha jiji letu la Dar es Salaam, kuongeza kipato zaidi ya mara 100 kwa wafanyabiashara na kodi kwa serikali na mambo mengi kua murua zaidi ya hivi sasa.

Paamoja na yote nasema huu ndio wakati wa mfanyabiashara wa Tegeta aliyepata kujua maana ya BIMA KATIKA BIASHARA YAKE KUJIKINGA NA MAJANGA wao kuanza kutabasamu mpaka benki (la sio Benki ya NMB iliyoingia ukiritimbaa wa kutuzungusha zaidi na wagonjwa wetu na maiti za ndugu zetu pale Muhimbili) kwenda kujichotea kiulaiiiini.
 
Back
Top Bottom