Kuhusu Babu wa Loliondo, mawaziri wa Kenya wako makini, ona

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,164
548
Hebu tazama hapa: Loliondo Jitters - YouTube
Mama Mugo, Waziri wa Afya wa Kenya anasema huyo ni mganga na sio mhubiri wa dini, wakati mawaziri wa kwetu walienda kupanga foleni kunywa maji eti ni dawa!!!!
 
images

Maige.JPG

Magufulikikombe2.jpg

03_11_x7wetg.jpg

VIGOGO.jpg

dawa.jpg

1383938.jpg
 
Hebu tazama hapa: Loliondo Jitters - YouTube
Mama Mugo, Waziri wa Afya wa Kenya anasema huyo ni mganga na sio mhubiri wa dini, wakati mawaziri wa kwetu walienda kupanga foleni kunywa maji eti ni dawa!!!!

Japo mimi huwachukulia wanasiasa kama wasanii, kama tumawapima kwa quality ya mihogo, wanasiasa wa Kenya ni mihogo inalika wakati wakwetu ni mihogo MICHELEMA; hata uliweka magadi wakati wa kuchemsha itabaki micheema tuu!
 
ndio maana wengi wao akili zimeganda,sumu waliyokunywa inawatafuna lol
 
Wenzetu wa upande wa pili walimshabikia sana huyu mganga, eti mchungaji! hawa jamaa sijui wakoje mi huw siwaelew kabisa na iman zao za ajabu ajabu!
 
Back
Top Bottom