ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Kwa muda mrefu nimekuwa nafatilia vipindi vya Itv,eatv na star tv haswa taarifa za habari ambapo ikifika kipindi cha taarifa ya habari lazima kuwe No signal au scratch nyingi ambapo hupelekea taarifa ya habari kutoonekana kabisa.Ikumbukwe Star times iliingia ubia na Tbc lakini baadae TCRA wakasema ubia wa Star times imeingia na serekali kwa iyo makampuni binafsi na yenyewe yataingia kama tbc lakini bado kuna channel nyingine hazionekani..Hii ni janja ya Star times na tbc baada ya kugundua watazamaji wengi hawaangalii tena tbc..