watanzania tuache mbeleko iliyotubeba

watanzania tuache mbeleko iliyotubeba

Bagrameshi

Senior Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
131
Reaction score
43
saruti wana jf
ndugu yangu mtanzania hata uwe dr, mhandi, mwanasiasa, msomi wa phd, mwanaharakati na kiongozi yeyote hapa tz, nani amefundishwa na mwalimu mwenye ufaulu wa dv 1? Pamoja na kuwa na uwezo wa juu ktk fani uliyonayo umesahau kuwa umewezeshwa na mwl yule yule tunayemnanga kuwa alifeli? Mwl aliyefeli alikufundisha, akakutungia mitihani, huyohuyo akakusahisha akakupagia matokeo na mwisho akakupa dv ambayo leo hi inakupa kiburi unaanza kukumbuka et LAKINI HUHU SI ALIFELI. KAMA MWALIMU ALIFELI BAS WW ULIFELI x2. Watanzania tuache kuchana mbeleko iliyotubeba.
 
Back
Top Bottom