TBC na Uchaguzi wa Kenya

TBC na Uchaguzi wa Kenya

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,827
Reaction score
12,321
Najaribu kujiuliza kama Television ya taifa ya Kenya ingetumia kodi za Wakenya kurusha matangazo live ya uchaguzi wa Tanzania.
Ivi watanzania tuna nini?
Ivi TBC mmeshindwa hata kuonyesha kilimo kwanza?
Kwanini huwa tunajipendekeza kwa Wakenya ambao hawatuthamini?
 
Marin Hasani anaona kabisa kwenye masanduku yameandikwa ni kwaajili ya nini, yeye mwenyewe akatueleza kila rangi inamaanisha nini, bado akamsumbua msimamizi kwa kumuuliza alichoeleza tayari.
Kama sio kutafuta perdiem ni nini?
 
inawezekana kuna udhamini wa mwananchi pepa... gazeti lao la jana mwananchi wametoa tangazo kufauatila uchaguzi kupitia TBC...
 
Najaribu kujiuliza kama Television ya taifa ya Kenya ingetumia kodi za Wakenya kurusha matangazo live ya uchaguzi wa Tanzania.
Ivi watanzania tuna nini?
Ivi TBC mmeshindwa hata kuonyesha kilimo kwanza?
Kwanini huwa tunajipendekeza kwa Wakenya ambao hawatuthamini?
Yaani Zungu na Attiki wanaboa
na sera za CCM . Marini anapenda picha zake mwenyewe zirushwe- selfish eho centered chap.
 
Marin si mkenya kaomba labda atumie rbc kwaleo!
 
...Tanganyika bwana!...we acha tu.
 
Naamini yapo tutakayojifunza.......na si TBC pekee vyombo mbali mbali vinafuatilia uchaguzi huo kwa karibu.
 
Thubuuuuuuuutttu! we unafikiri wakenya ni kama nyie TBCCM mambumbumbu!!!

kwa ukweli hata mie siipendi hii hali ila nahisi kuna kitu nyuma ya pazia haiwezekani tujipendekeze kiasi hiki wana nini wao?
 
Salamu zao! Kericho, Kisii, Eldoret, Naivasha, Narok, Kisumu, Wajir, Mombasa,Kakamega, Mumias...
 
labda nasi ikifika zamu yetu wataonyesha kwenye tv zao
Hawana UJINGA huo, wao ni kama England ya Africa wanashughurika na masuala yao tuu kwa USTAWI wa jamii yao. Kama tungekuwa watu makini nchi ya kujifunza ni Zambia lakini sijaona barabara ya Chiruba hapa nchini!
 
Ttzo watanganyika mnapenda kushoboka,miaka ya 1964 mlizivamia siasa za zanzibar mkavuruga kilakitu kule,sasa mmeanza kushobokea kenya,acheni hizo bhana sio ishu.
 
Back
Top Bottom