Waziri TAMISEMI saidia walimu Sengerema

Waziri TAMISEMI saidia walimu Sengerema

gullason

Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
9
Reaction score
1
Nasikitika kuwa walimu wilaya ya Sengerema wanatendewa isivyo hasa katika swala zima la madai yao, zikiwemo kupanda madaraja, likizo na matibabu.

Ndani ya mafaili barua za madai halali zinaondolewa hivyo kushindwa kulipwa madai stahiki.Pia makato yasiyo halali katika madai halali.

Mfano; Likizo kutoka Sengerema kwenda Bukoba mtu analipwa Tshs 40,000/- akiwa na familia yake. Viambatanisho vipo ni dhuruma inayotendwa na viongozi wa idara zote za elimu.

Hivi walimu wataendelea kunyanyasika mpaka lini?

Tunadhani huu ni wakati wa mawaziri kutoka ofisini kwenda kufuatilia yanayo semwa na kutafuta uhalisia wa habari au madai badala ya kutegemea sources kutoka ofisi za elimu.

Wilaya hii ina miungu watu na ukiletwa wilaya hii wewe ni tajiri. Acheni kuunda tume tu njooni muone wenyewe.
 
mkiambiwa kugoma mnakataa leo mmekuwa ombaomba,mnawasaidia kuiba kura kwenye uchaguzi leo wanawaona wapuuzi.mjipange 2015
 
Back
Top Bottom