Moto wateketeza Nyumba Kasulu..

Moto wateketeza Nyumba Kasulu..

Inno laka

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,616
Reaction score
585
Habari wana jf

Leo majira ya saa 7:00 hrs asubuhi moto umeteketeza nyumba Kasulu,Kigoma Opposite na Bank ya NMB Kasulu,ila mpaka sasa chanzo cha moto huo bado akijajulikana kwa kweli inasikitisha wilaya kubwa kama hii haina zima moto kabisa.

Vitu ambavyo vimeungua ni pamoja na maduka mawili ya electronics.,.na duka na internet cafe imeteketea kwa moto....napongeza jesh la polisi Kasulu kwa kazi nzuri iliyofanya...
 
Poleni sana wana kasulu, hivi hamjajua tu kuwa Kasulu/mkoa wa Kigoma ni yatima? Nyie jiandaeni kuiadhibu serikali kupitia CCM kwa kutumia sanduku la mpiga kura. zaidi no maendeleo.
 
Poleni sana! Ndiyo serikali yetu inavyofanya kazi.
 
Hizi ajari za moto sasa zimekuwa nyingi, na hizi tabia zetu zakutokatia bima mali zetu, huwa inarudisha nyuma kabisa wenye mali.

Tukumbuke kukatia bima nyumba zetu na thamani zake jamani!
 
Hizi ajari za moto sasa zimekuwa nyingi, na hizi tabia zetu zakutokatia bima mali zetu, huwa inarudisha nyuma kabisa wenye mali.

Tukumbuke kukatia bima nyumba zetu na thamani zake jamani!

Ya kwako ina BIMA?
 
Ni kweli nyumba imeungua na magari mawili yameungua kwan kwenye jengo hilo kuna gereji upandeni.tunawapa pole waliounguliwa. Hapa gari la fire lazima litole kgma umbali ni km 100
 
Pole tele .
Sasa hapo kuna umeme japo hawajasema chanzo ni nini . Ni vema serikali ya Wilaya ikawa hata na gari la kuzima moto.

Hasara kiasi gani kwa moto huo.
Tukio limetokea asbh sana.
 
Pole tele .
Sasa hapo kuna umeme japo hawajasema chanzo ni nini . Ni vema serikali ya Wilaya ikawa hata na gari la kuzima moto.

Hasara kiasi gani kwa moto huo.
Tukio limetokea asbh sana.

kwa hesabu ya haraka haraka ni zaid ya Milioni thelathini.
 
Nyumba iliyoungua kuna ofisi ya vijana ambao huwa wanatoa mikopo kwa walimu. Kadi nyingi za walimu zimeungulia kwenye ofisi hiyo ya gilagiza.
 
Nyumba iliyoungua kuna ofisi ya vijana ambao huwa wanatoa mikopo kwa walimu. Kadi nyingi za walimu zimeungulia kwenye ofisi hiyo ya gilagiza.

Mkuu Kanjunju hao jamaa kumbe ni watoa mokopo kwa Walimu.
Kadi za aina gani Mkuu ? ATM CARD/Kadi ya gari

Mmiliki wa hiyo ofisi analizungumziaje tukio
 
Pale waliopoteza mali kuna mwalim ana secretarial service na internet cafe vyote vimeungua. Hawa vijana wa mikopo wanachukua Atm kadi za walimu,ofisi hii imeangaliana nmb benk. Walimu wamebabuliwa sana na hawa jamaa. Tetesi ni kuwa ata kuungua kwa jengo hili yawezekana walitaka choma baadh ya docs za ujanja wanazosainisha walimu
 
Kweli hawa jamaa ni matapeli sana..
 
Back
Top Bottom