"LUKU" za maji ziko njiani

"LUKU" za maji ziko njiani

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,700
Reaction score
2,615
DAWASCO wameamua kuja na system ya meters za pre-paid kwa ajili ya matumizi ya maji, sawa na meter za LUKU zinazotumika kwa ajili ya umeme, mpango huo utaanza kwa njia ya majaribio maneo ya Dar yenye upatikanaji mzuri wa maji.

Mfano wa meter
ak-21v-buyuk-15.png

Source: Home
 
LUKU= Lipia Umeme Kadiri Utumiavyo
Kwa hii mita ya maji itabidi iitwe
LIMAKU= Lipia Maji Kadiri Utumiavyo

LIMAKU

Au
LIMA= LIPIA MAJI
 
Na maji hayana shoti ... Zitapigwa nyoka sioni mfano wake ...
 
LUKU= Lipia Umeme Kadiri Utumiavyo Kwa hii mita ya maji itabidi iitwe
LIMAKU

Du hili jina nimelipenda maana hata mfanowe ni uleule wa kupitisha maji kwa kasi
sijiu wataweka betri ya solar au dukani na sisi tuilipie maana umeme hauwezi kuiendesha hiyo LIMAKU
 
wataingia hasara ya kuziagiza na kuzifunga kwa wateja!!maji hayatoki kwa hiyo hazitakuwa zikilipiwa mara kwa mara!!labda service charge za mwezi!
 
watajijua...nina mwaka wa 20 sijui maji yao yakoje...toka enzi za nuwa...
 
Back
Top Bottom