Mwanafikra huru
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 141
- 18
Habari wadau wa jamvi hili
Najua wengi mtakunjua hapa mkijua matokeo ya kenya tiyari hapana
Nina maswali yananyo nitatiza kichwa changu kuhusu mwendo wa matokea ya uchaguzi uneo endelea nchiniKenya na pengne ni kwa sababu chaguzi zetu na za Kenya zina utofauti kidogo na ukizingatia jamvi ni kubwa hili
Kenya wana uchaguzi wa Magovernor+Senator amabo wana pigiwa kura na wananchi,wana wabunge ambao wana pigiwa Kura na na wananchi
Swali langu ni je? hawa Ma Governor nao wako katika mfumo wa vyama vya siasa? Na ikiwa ndivyo nimeshindwa wapi kupata general luff ya matokeo ya Ma Senator na Ma governor + Mp's ili kuweza kujua ni chama gani mpka sasa hivi kina uwezo wa kuunda selikari kwa idadi ya viti vya usindi? Na hii ni kwa sababu tv zote zinaonesha mchuano wa Urais tu
Naomba kuwasilisha