Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Ni hadithi za shule za msingi zilizokuwa zimejaa ubunifu, ucheshi, mzaha, elimu na mafumbo mazito ambayo kwayo tunaweza kuyatumia kuijenga nchi!!!
Mfn:- Nani atamfunga paka kengele i.e Nani atawataja majina mafisadi walioficha pesa uswizi???
Endeleen wanajamii kukumbuka na mifano halisi???!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums