Juzi hapa amestopisha mzabuni wa maji asilete tena toka US. Sasa kwa boko la jana atatumia ya arabuni au china? Ni suala la muda.
Ndugu zangu wana Mtanila, mnabanangwa kisawasawa na huyu mtawala wenu
Wakati dunia inaendelea kukabiliana na mabadiliko makubwa yanayotokea, mabadiliko ambayo yanaonekana kuvuruga mfumo wa usimamizi wa dunia ambao umekuwa ukifuatwa tangu kumalizika kwa vita ya pili...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza Iimewakamata na kuwatia mbaroni watuhumiwa 12 wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa wamejificha kwenye mapango yaliyomo Mkoani humo, huku wakidaiwa kuwa na vifurushi vya...
Ni kijnywaji kipwa Kama heading ilivosema
Waungwana Hiki kinywaji ukitembelea sehem zile za vijiwe vya Kahawa unanikuta Ni Kichungu mithili ya Shubiri. Kwa anaekifaham asili yake ni wapi na...
1. Usiwe mkali wa maneno (3:159)
2. Zuia hasira (3:134)
3. Wema kwa wengine (4:36)
4. Usiwe mwenye majivuno (7:13)
5. Wasamehe wengine kwa makosa yao (7:199)
6. Ongea na watu kwa upole (20:44)
7...
Kuelekea tarehe 9 anza kukusanya mahitaji yako ndani, mlikishwa pewa taarifa muhimu ya kutoa pesa kwenye mabenki na simu muwe na Cash.
This is highly likely, kuwa hili jambo la tarehe 9 likienda...
Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu...
King James I (1566–1625) ndiye aliyeagiza tafsiri ya Biblia maarufu ya “King James Version,” lakini hakuandika Biblia hiyo mwenyewe. King James hakuwa kiongozi wa kidini alikuwa mfalme wa...
Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo;
vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote...
Inawezekana tunajiuliza vijana wetu wametoa wapi hulka za ajabu ajabu? Jibu ni kuwa tumeiuwa taasisi ya familia kupitia ratiba mbovu za shule hususani english media.
Watoto wanakesha shule lakini...
Samia: Vurugu za Oktoba 29 walitaka kuangusha Dola. Tunapoambiwa tulitumia nguvu kubwa, nguvu ndogo ni ipi? Wanatupa maelekezo kwani wao ni kina nani hasa?
Rais Samia amezungumza na Taifa...
Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) ..
15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi
Mengi ambayo...
Najua wengi wenu hapa ni wazalendo hivyo itakua ngumu kwenu kukubali hili ntakalosema.
Kiswahili ni lugha limiting sana. Ndio, katika maisha yakawaida ya kila siku, haina shida. Leta maji, leta...
Eze 8:6 SUV
[6] Akaniambia, Mwanadamu, je! Unayaona wanayoyafanya, yaani, haya machukizo makubwa wanayoyafanya nyumba ya Israeli hapa, hata niende zangu mbali na patakatifu pangu? Lakini utaona...
Kwa msiofahamu mambo ya tovuti kuna upande mwengine unaitwa Dark web huko kuna kila aina ya uchafu ambao ushindwe wewe.
Kwa matukio ambayo yanatokea nchini na wahusika wakijulikana wakiwa vitengo...
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu...
Hakika TEC imejaa wasomi Mapdre sio watu wa kubwabwaja tu
Kanisa Catholic limeagiza majimbo, Parokia, vigango na jumuiya zote za TANZANIA kuwatambua marehemu na majeruhi wote waliopigwa risasi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Siku kadhaa zilizopita nilifanya safari kati Dodoma na Sumbawanga, nilitumia usafiri wa Bus la Kampuni ya AN Classic.
Pamoja na kwamba route hiyo AN Classic ndiyo Bus...
Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu...