Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili...
1 Reactions
32 Replies
865 Views
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini...
3 Reactions
21 Replies
876 Views
Nilikua napiga stori na app ya grok, ikanitonya kuwa nijiisajili UN kwa mfumo wa online na si kwenda ofisini. Nikimaliza niende ofisi ya karibu. Mfano kama upo visiwani, unaomba kujiunga kwenye...
1 Reactions
6 Replies
203 Views
Tanzania imeendelea kushikilia nafasi yake ya kimataifa kama 'nchi Inayoongoza duniani kwa utalii wa safari' katika hafla ya fainali za World Travell Awads 2025. Tanzania imetunukiwa taji hili...
3 Reactions
7 Replies
411 Views
Kumekucha. Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima . msaada walau...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Ina maana this is not great news? Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
1 Reactions
38 Replies
777 Views
Tarehe 5 december nilisema kuwa baada ya watu kumaliza kuswali misikiti yote na kwa nini walipunguza sauti kwenye mawaiza. Sikuwa na nia ya uchonganishi ila kuna mambo ambayo pandikizi tumeyaona...
1 Reactions
10 Replies
532 Views
Eze 12:2 SUV [2] Mwanadamu, wewe unakaa kati ya nyumba iliyoasi, watu ambao wana macho ya kuona, ila hawaoni, wana masikio ya kusikia, ila hawasikii; kwa maana ni nyumba iliyoasi. Unaweza ukawa...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Habari wakuu.. Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja...
5 Reactions
2 Replies
242 Views
Uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search ni njia muhimu ya kubaini asili au maelezo zaidi kuhusu picha fulani. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Adha ya usafiri kutoka jiji la Dar Es Salaam kwenda Mikoa mingine nchini bado imekuwa kitendawili ambacho kila Mwisho wa mwaka hasa mwezi wa 12 kinakosa kutenguliwa. Inaelezwa kuwa kwa mwezi wa 12...
1 Reactions
6 Replies
532 Views
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of...
2 Reactions
18 Replies
504 Views
Hiyo ndoto kuwa mtakuja kuwa rahisi kaja kukatiza samuya. Msitarajie hata kwa bahati ya CDF mstaafu mabeyo. Kwa sasa tumeona nchi walizoshika wanawake na mwisho wa siku wengine wamehukumiwa...
4 Reactions
11 Replies
589 Views
Na je, ipi ni Mbinu sahihi kabisa na rahisi isiyo na Shaka na ama kutaka Kumuua kabisa au Kumkimbiza eneo husika?
3 Reactions
12 Replies
474 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne...
5 Reactions
82 Replies
7K Views
Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Abubakar Bin Zubeir, amewata Watanzania wanaoishi nje ya kutumia fursa zilizopo huko ili kujenga uchumi wa Tanzania, kukiko kutumika kuvuruga amani iliyopo. Mufti...
0 Reactions
7 Replies
275 Views
Mtuambie basi mnasimama na watawala (mafisadi) au mnasimama na wananchi? Mbona unafiki wenu unataka kuvuka grade zote za hapa duniani? Kwahiyo mpo ladhi kufuta ushirika mshiriko wenu kisa tu...
5 Reactions
38 Replies
766 Views
Back
Top Bottom