Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa baadhi ya picha zilizokuwa zikisambaa zikidai kuonyesha kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) umevamiwa si za matukio ya...
Tunaamka kesho tunabakiza usiku mmoja.
Watu sio waoga kama mnavyodhani 9D watu wapo barabarani we kama muoga baki ndani kwani hata vitani wanawake, mashoga(unfit),na vilema hubaki ndani...
Ukweli usemwe, viongozi wa Tanzania kila siku ni kutoa speech, mara sijui tuwe wazalendo, mara tujenge nchi, mara taifa letu ni imara, mara utasikia hatutavumilia viongozi wazembe, mara sijui...
Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe.
Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa.
Ili kundi kuna...
Wakuu,msada kwenye tuta tafadhali,kama kichwa kilivyojieleza hapo juu,niko mtupu kabisa kwenye engo hiyo,nmejaribu ku gugo sjapata chochote cha maana.
Naomba wakuu mnisaidie hili.
Nawasilisha...
Badala ya watu kuandamana wakaamua kutojihusisha na jambo lolote la kiserikali ,wafanyakazi wa serikali mfano madaktari wagome kwenda hospitali kutibu, walimu wagome kwenda shule kufundisha ...
Wakuu kama mna kumbukumbu ni kwamba tarehe 6 sept 2025 mamlaka ya mawasiliano iliifungua JF kwa siku 90 kutokana na makosa walioona wao kuwa JF wamekiuka.
Na kwa siku 90 ni kwamba zinaisha kabla...
Raisi John Magufuli alitoa hotuba ya kuzungumzia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa Stiegler Gorge kwenye mto Rufiji.
Kwenye hafla hiyo Misri wamekuja na wajumbe...
Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi...
Mohamed Ali Kibao alalamikia ukimya wa mamlaka kuhusu mauaji ya Baba yake, Mzee Ali Kibao, awashauri Rais na Waziri Mkuu kukiri yaliyotokoea
Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Mzee Ali Kibao...
"Wapo wananchi ambao bado wanahofu na wapo ambao nimeona wameenda sokoni wananunua vitu vya muda mrefu kwamba labda kutakuwa na 'lockdown' sisi kama kamati ya amani katika mkoa wetu tunaamini bado...
Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya...
Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Updates...
✅JE UNAHITAJI KUCHIMBA KISIMA CHA KISASA CHA MAJI SAFI NA SALAMA KAMA UKO DAR ES SALAAM TUMEKUPA PICHA TU YA WATER TABLE IKO MITA NGAPI KWA MAENEO TULIYOCHIMBA VISIMA
Feri_ kigamboni mita 50...
Nina changamoto ya kusumbuliwa na mguu,sasa unafikisha mwaka wa 2, mguu huu unaouma ni wa kushoto tu.
Huu mguu unauma na kukosa nguvu ninapotembea tu,lakini kama nakaa,nasimama au kukimbia hata...
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu
Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada...
Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.