Saudi Arabia imekuwa na sheria kali kuhusu pombe na bidhaa za pombe, ambapo zinakatazwa kabisa katika nchi hiyo, ingawa pombe zimekuwa zikitumika kwa siri kwa baadhi ya wageni.
Hatua hii ni...
Umemsikia Mwigulu?
kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?
Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’...
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua...
Kijana kama una wazazi au dada zako please wape pumziko na utulivu.
Maandamano ya kesho Disemba 9 ni haramu, serikali haiwezi kila siku kuongelea jambo moja.
Ukitoka kuandamana wazazi wako hasa...
Tokea Oktoba 29 chuki imekuwa kubwa sana na utawala wa chuma ambao ni CCM.
Kwa sasa wanaogopa kuvaa nguo zao kupita mtaani, yale mabaiskeri na pikipiki wengine wanaogopa kutoka nazo.
Bendera za...
Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You.
sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko.
Uwezi kutumia watu...
Serikali imesema hakuna mwananchi yeyote atakayeenda kwenye Kituo chochote cha kutolea huduma za afya au Hospitali, akakosa kupatiwa matibabu eti kwa sababu hana fedha.
Akizungumza kwenye kikao...
Nawaza mbeleni kwanza tu.
Nikiwatazama Wakuu wa mikoa, RPC, IGP, DGI, Mahakimu, watoto wa wakubwa, wabunge, machawa, wasani wao, Account zinazoshangilia n.k.
Kuna kitu kinaitwa kihoro...
Mzuka wana jamvi!
Kuna sababu gani sasa ya kutubagua waafrika weusi. Sisi weusi ndo inabidi tuwabague.
Najiuliza huko India hamna bwana afya?
Video chini.
Kazi mnayo kurudisha imani kwa jamii hata kama umejenga sasa nyumba yako unaiona chungu.
Kama Muliro kakimbia nyumba yake kwa sasa😄.
Oktoba 29 kuna askari mmoja alikuwa anapanga nyumba moja watu...
Huu ndio uwadilishaji wangu wa mada. It's like dhihaka au jazba ila nawatonya tu kuwa mkiandamana na mkabahatika kushikwa salama hakuna tena msamaha.
Kesi yenu itachukua muda mfupi sana mithiri...
1. Zaire (sasa DRC) – Mobutu Sese Seko
🔹 Alipingana na viongozi wa dini, hasa Kanisa Katoliki. Alifungia makanisa yaliyokuwa yakikosoa serikali.
🔻 Alipinduliwa mwaka 1997 na Laurent Kabila.
2...
Mzuka Wana Jamvi!
Naam siyo nyingine bali Sweden. The land of the Abba, the land of Volvo and the land of Scania ( King of the road).
Sweden ni taifa linaloongoza duniani kuwa na visiwa vingi...
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, suala la Rais ambaye ana tatizo la akili linagusiwa chini ya Ibara ya 43. Ibara hii inashughulikia kuhusu uteuzi wa Rais, madaraka yake, na pia...
Na huwa inashauriwa Siku za Uhuru za Mataifa yoyote yale duniani ukiwa Raia usilete matatizo yoyote kwani Uhuru wako wa hiyo Siku unaweza kukukutia pabaya na ukajutia.
Wapo wengi waliopotezwa na kuuliwa kabisa ila wengi waliacha ujumbe wa kishujaa.
Hawa ni moja ya tuliowafahamu:
SOKA: “ikitokea nimepotezwa, msilie pambaneni na msikubali usaliti.”
MDUDE: “Kama...
Mimi mzee wenu kijana wa zamani napenda kuomba msamaha kwa niaba ya vijana wa zamani kwenu Gen Z tulishindwa kupambana kuweza kuhalalishwa uvutaji wa bangi.
Siyo eti tulikosea hapana, tulijaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.