Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo...
Aisee yani kama anajiogopa kila mtu anamuona ana msaliti.
Kanogewa na madaraka mpaka kufikia kuweka mashushu wake toka visiwani kila idara ili ukileta jambo la kukataa basi unaliwa kichwa au...
Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote.
Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote.
Kutokana na...
Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari...
Maelezo yafuatayo kwa msaada wa Chatgtp yatakuwa msaada mkubwa sana endapo tutarejeshwa tena gizani.
Kama kauli mbiu ya 9D inavosema wakati huu hatuendi kinyonge. Basi ungana nami hatua kwa hatua...
Namba 9 katika numerolojia ni namba ya mwisho Kwa sababu Kila namba katika maarifa hayo Inaweza kupunguzwa na kuwa dijiti moja. Inawezekana pia baadhi ya wataalamu kupunguza namba kuu "master...
MUISLAMU: USIKALIE MATUSI
Ambayo yanakupeleka jehanam
Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo...
Maandamano ni haki ya kikatika ila sasa kwa mikono yao iliyoshika damu na utamu wa madaraka unaweza kufikiri waka kubari.
Maandamano haya yanataka waachie nchi.Ndio maana wamejiandaa kwa...
Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi.
Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao.
Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa...
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na...
Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni...
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika.
But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" .
Tanganyika...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku ametolea ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa mitadaoni zikimnukuu kwamba anaunga mkono maandamano ya Disemba 9,2025 na vurugu...
Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao.
Natumai mmejiandaa yale...
116 wakamatwa Mwanza kwa kuratibu maandamano
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 116 wanaodaiwa kuhusika kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, yakitajwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.