Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe (CHAUMMA) Sigrada Mligo ametoa wito kwa Serikali kuongeza watendaji wa Mahakama akiwemo Hakimu wa Mahakama ya ardhi, ili kupunguza vifo vya Wananchi kwa kukosa...
3 Reactions
7 Replies
365 Views
Viongozi wanapaswa kutambua ...." TRUTH DOES NOT LOOSE THE BATTLE " Wasome alama za nyakati. Ardhi ya Tanzania sasa imejawa na vilio vya watu wengi sana ( walio hai na wasio hai) . Tafadhali...
11 Reactions
32 Replies
2K Views
Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020. ======================== Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la...
7 Reactions
39 Replies
638 Views
Wana haki ya kututeka maana uwezo wao umeshafikia kikomo. Ukiangalia shida za maji zinazowapata wakazi wa Dar sio kuwatengenezea jengo ndio litasambaza miundo mbinu na utatuzi wa maji. Hii pesa...
3 Reactions
8 Replies
322 Views
1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao 2. Kanisa katoliki halijitangazi 3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2. 4. Ukiondoka hupigiwa simu...
22 Reactions
39 Replies
1K Views
Baadhi ya Watanzania walifuata mihemko na tabia ya kumwekea Mh Mbowe maneno ya mdomoni kwamba alikuwa aking'ang'ania CHADEMA kwasababu ya maslahi yake binafsi pasipokufahamu ukweli Mh Mbowe sio...
1 Reactions
60 Replies
1K Views
Kwa kweli sitosahau siku hii nilivyoumbuka julias nyerere international airport HIi siku kuna watu walinitazama kama gaid wengine kama punda mbeba ngada Maana nilifika vizur had getin picha...
5 Reactions
24 Replies
824 Views
Msiba wa binadamu ni jambo la kuhuzunisha na kusikitisha hata kama aliefariki humjui. Kwanini? Kwasababu binadamu tofauti na viumbe wengine tumepewa upeo wa kuona uzito wa kuondokewa na binadamu...
5 Reactions
8 Replies
281 Views
Kiti kina tafsiri nyingi lakini majumuisho yake ni Ukuu Utawala Enzi Mamlaka Uongozi Niliwahi kuleta simulizi hapa ya "KITI HAPIGWI" Nitaweka link yake kwenye reply Ndani ya familia kuna kiti cha...
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai...
6 Reactions
17 Replies
770 Views
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi...
66 Reactions
84 Replies
3K Views
Hii barua ina makosa mengi mno ni aibu kwa taifa
4 Reactions
23 Replies
577 Views
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada. Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao. Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo...
8 Reactions
18 Replies
761 Views
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code. Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao. wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au...
4 Reactions
15 Replies
422 Views
Muda huu nimekaa sehemu chini ya mti, ghafla naona maji yanadondoka kutoka juu ya mti, yamedondoka kwenye mwili wangu mikononi na kichwani, naangalia juu naona popo mkubwa kumbe alikuwa anakojoa...
7 Reactions
52 Replies
686 Views
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwai
31 Reactions
1K Replies
35K Views
Maisha ni pamoja na ku-enjoy. Hapa mjomba akifurahia Jambo.
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Mpaka sasa nahisi dishi langu limeyumba na Chanel hazisomi kabisaa wanawane.. Tangu October 29 na sasa D9 Hadi Leo nimekua nikikesha na kubugia pombe nakunyandua singo mazasi . kwa kifupi nimekua...
4 Reactions
23 Replies
520 Views
UN yatoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kutoa taarifa za waliopotea na waliokufa Oktoba 29 Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema kuna taarifa za vifo, majeruhi na watu kukamatwa...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…