Wasalam mabibi na mababu,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu...
Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki?
Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki...
Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu...
Wote mnajua jinsi ChatGPT inavyojaribu kuwa neutral kwenye mijadala. Lakini cha ajabu imemkataa Samia waziwazi, na kudai dini sio sababu ya Samia kuchukiwa
SWALI: Mimi ni Rais Samia, Watanzania...
Nataka kubadili au ku upgrade akaunti ya NMB chap chap kuwa Akaunti ya kawaida kwani nina project inayohitaji kuwekewa zaidi tsh milioni 20 na Cha chap haiwezi kupokea tsh. zaidi ya milioni 5...
Habari za asubuhi wanajamii
Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
Jinsi ya kusherehekea Desemba bila kuanza Januari ukiwa na presha ya fedha
1. Tenga bajeti
Amua mapema kiasi unachoweza kutumia bila kuathiri mahitaji ya baadaye. Bajeti hukusaidia kufurahia...
Hapa ni Kigoma – Ujiji (Mjini), kijijini vipi?
Shule ya Msingi Rusimbi, iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa madawati na uchakavu...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amewashangaa Halmashauri wanaotoza kodi na ushuru mkoani humo kwa kuendeleza taratibu zisizo na uhalisia, hususan kwa wafanyabiashara na wakulima wadogo...
Tukumbuke Nguzo Kuu za Ukristo
Kama tunavyojua, msingi wa Ukristo ni Yesu. Yesu Kristo Bwana ndiye msingi wenyewe.
Yeye huitwa jiwe kuu la pembeni, na mwamba ambao juu yake sisi sote tumewekwa...
Wizara ya Elimu Tanzania
Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine
Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni.
Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units.
Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa...
Wazo hili linaeleza kwa undani tofauti kati ya kuzaliwa kwa mwili na kuzaliwa kwa roho. Ni kauli yenye uzito wa kiinjili, inayotuonesha kwamba safari ya mwanadamu haikamiliki kwa tukio la kuzaliwa...
KAMA KIPATO CHAKO NI CHINI YA MILIONI MBILI USITHUBUTU KUOA MWANAMKE ASIYE NA KAZI(MAMA WA NYUMBANI)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa sisi Watibeli hata úwe tajiri Namba Moja Duniani lazima...
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.
Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa...
Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe .
Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.