Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukweli ambao watu wengi hawaujui kuhusu Pweza ni kwamba ni kiumbe pekee cha majini chenye mioyo mitatu. Mioyo miwili husukuma damu kwenda kwenye mapafu ya baharini (gills), na moyo mmoja husukuma...
6 Reactions
11 Replies
384 Views
Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu? Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo...
15 Reactions
85 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limetoa taarifa ya kuchomwa moto na kuharibiwa kwa magari mawili yaliyotumika kusafirishia mwili wa marehemu, tukio lililofanywa na waombolezaji wa msiba baada ya...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Huyu kijana mjanjamjanja , aliibuka na kudai ataipararaizi serikali, alikuja na mbinu za kujiliza huko TikTok kwenye Kila live, na madai kedekede ya kujifanya anaushaidi wakutosha wa video na...
4 Reactions
37 Replies
827 Views
Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua...
1 Reactions
5 Replies
172 Views
Ikiwa ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu mwili wa mzee aitwae John Kombe (73) mkazi wa kata ya Kirua Vunjo Magharibi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ulikutwa umefungiwa kwenye dula lake na watu...
2 Reactions
2 Replies
320 Views
Je, hii ni dalili ya failed state? Kuanza na kuanza ndani ya siku 100 maji yameanza kuwa tatizo, nauli za mwendokasi zimeanza kupanda, umeme nao soon utakuwa changamoto. Dalili ya mvua mawingu...
4 Reactions
12 Replies
266 Views
Ndugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu. Madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti. Tumeona...
1 Reactions
10 Replies
254 Views
Nasikitika sana na nazidi kusikitika. Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania...
8 Reactions
14 Replies
445 Views
Wazee wa CCM wanaona kama kifo sio sehemu yao kwa nchi hii. Wazee ni wengi wengine wanaweza kuona sio mda wao ila watafika ili tu kuona maisha ni ya kwao. Kuna watu tupo nao mashambani wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Watoto wanapasua fresh kabisa Wanaenda shuleni alfajiri kurudi jioni kwa school bus Hakuna kutoka nje kusocialize na wenzao, GETI KALI Hutumia muda wa nyumbani kucheza games, kuangalia katuni...
2 Reactions
8 Replies
211 Views
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa...
1 Reactions
33 Replies
412 Views
Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe...
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Habari Kuna hii tabia ya wapangaji kutojishughilisha/ kutoshiriki shughuli za kijamii katika maeneo waliopanga shida nini? Mtu anapanga lakini hashiriki iwe msiba, harusi, kutengeneza barabara...
5 Reactions
22 Replies
503 Views
Huyu jamaa yale mashambulizi yote kwa Mwamposa ilikuwa WIVU Kuna waislamu niliwaambia huyu ni muongo na mpotoshaji hata maandiko ya Biblia Amekuwa akiyapotosha na waislamu walivyo hawajui...
3 Reactions
6 Replies
282 Views
Unatamani kufanya mabadilko yoyote duniani? basi unatakiwa uwe na ukwasi mkubwa. Wahenga walisema mkono mtupu haulambwi hivo acha kupoteza mda kwenye social media Tengeneza ukwasi wako na...
1 Reactions
5 Replies
185 Views
Mambo Tanzania ! Naomba vijana wapewe fursa ya kuunganishwa kiuchumi yaani wawekwe makundi 6. Wapewe sekta wawekeze na wazisimamie kikamilifu. Sekta zifuatazo wapewe vijana; 1. Usafirishaji wa...
0 Reactions
4 Replies
145 Views
Kukosekana kwa Ufuatiliaji Madhubuti* Maafisa kazi wengi hawatembelei maeneo ya kazi kwa ukaguzi wa mara kwa mara, hali inayowapa waajiri mwanya wa kuendelea kukiuka haki za wafanyakazi. Ukimya...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Inajulika miaka mingi mvua zikianza kunyesha ukanda wa Morogoro kwa wingi wanaodhurika na maji ya mvua hizo ni wakazi wa wilaya za Liwale na Kilwa, mkoani Lindi. Kuna wakati mvua zinasababisha...
2 Reactions
1 Replies
322 Views
Back
Top Bottom